Je, GSM imeamua kuipora Yanga mikononi mwa Wanachama?

Je, GSM imeamua kuipora Yanga mikononi mwa Wanachama?

Mashabiki Wa Simba Sc ile Miaka Yenu 5 Mliowahi kuishi Kwa Tabu Na Kutapatapa Inakuja Tena, Mkae Kwa Kutulia [emoji41]
 
Baada ya Hersi Said kuomba Uenyekiti kwa kudanganya umma kwamba eti kaombwa na Wazee, sasa ni dhahiri ule mpango wa gizani wa GSM kuichukua timu ya Yanga bila jasho umetimia.

Hakuna cha bure , hela mlizolipwa kwenye uendeshaji wa timu yenu ndio gharama ya manunuzi .
Wewe mpuuzi kasome katiba ya yanga kwanza ndo ulete uharo wako hapa vinginevyo unajivua nguo wewe mwenyewe, usifikiri kwa kutumia tumbo yanayoendelea kuwakuta nyie makolo ni zao la kutokuwa na katiba inayoeleweka na mkapata mwekezaji janja janja, kasome katiba ya yanga kwanza ndo uje tujibizane kwa hoja na sio viroja
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Endelea kupanua magoli , sisi hatutaki muanze kulialia huko mbele , ndio maana tunawasaidia .

Hivi kwa mfano Yanga ikaingia kwenye Mgogoro na GSM unadhani Hersi atakuwa upande gani ?

Simba SC imeshawahi kuingia kwenye Mgogoro na Mo Dewji?

[emoji23][emoji23][emoji23]

Je ikiingia CEO ambaye ni mtendaji mkuu wa shughuli za Mo Dewji ndani ya klabu atakuwa upande gani?

Nyani haoni........?
 
Hizi scenario hazifanani. Kinachoendelea Yanga sasahivi ni mchakato wa uchaguzi wa viongozi kwa mujibu wa katiba mpya. Hersi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa rais wa Yanga. Anayo haki kama mwanachama mwingine yoyote wa Yanga aliyetimiza vigezo.

Waliochukua fomu wanazo shughuli zao za kutafuta riziki,wengine ni wajasiriamali na wengine wameajiriwa sehemu mbalimbali kama ambavyo Hersi ameajiriwa na GSM. Hersi sio GSM. Hersi ni mwajiriwa GSM.

Ikitokea mwanachama wa Yanga anayefanya kazi SportPesa kachukua fomu kugombea nafasi ya uongozi haimaanishi kuwa SportPesa wana mpango wa kuichukua Yanga. Ikitokea mwanachama wa Yanga anayefanya kazi Azam Sports amechukua fomu haina maana kuwa Azam wanataka kuichukua Yanga.

Suala la kauli ya "..sisi tunachotaka ushindi..." ambayo unasema inatumika na mashabiki wa Simba ipo katika mazingira tofauti kabisa. Kule kuna mwekezaji ambaye tayari kashakubaliwa kisheria na wanasimba. Anao wajibu anaopaswa kuufanya,ambao ndio unaohojiwa na baadhi ya mashabiki wa Simba.
Mbumbumbu hawawezi kuelewa hapa
 
Screenshot_2024-07-17-12-13-19-1.png
 
Back
Top Bottom