Je, GSM imeamua kuipora Yanga mikononi mwa Wanachama?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Hersi Said kuomba Uenyekiti kwa kudanganya umma kwamba eti kaombwa na Wazee, sasa ni dhahiri ule mpango wa gizani wa GSM kuichukua timu ya Yanga bila jasho umetimia.

Hakuna cha bure , hela mlizolipwa kwenye uendeshaji wa timu yenu ndio gharama ya manunuzi .
 
Hizi scenario hazifanani. Kinachoendelea Yanga sasahivi ni mchakato wa uchaguzi wa viongozi kwa mujibu wa katiba mpya. Hersi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa rais wa Yanga. Anayo haki kama mwanachama mwingine yoyote wa Yanga aliyetimiza vigezo.

Waliochukua fomu wanazo shughuli zao za kutafuta riziki,wengine ni wajasiriamali na wengine wameajiriwa sehemu mbalimbali kama ambavyo Hersi ameajiriwa na GSM. Hersi sio GSM. Hersi ni mwajiriwa GSM.

Ikitokea mwanachama wa Yanga anayefanya kazi SportPesa kachukua fomu kugombea nafasi ya uongozi haimaanishi kuwa SportPesa wana mpango wa kuichukua Yanga. Ikitokea mwanachama wa Yanga anayefanya kazi Azam Sports amechukua fomu haina maana kuwa Azam wanataka kuichukua Yanga.

Suala la kauli ya "..sisi tunachotaka ushindi..." ambayo unasema inatumika na mashabiki wa Simba ipo katika mazingira tofauti kabisa. Kule kuna mwekezaji ambaye tayari kashakubaliwa kisheria na wanasimba. Anao wajibu anaopaswa kuufanya,ambao ndio unaohojiwa na baadhi ya mashabiki wa Simba.
Nahisi nao yanga wataanza kutumia kauli za simba zinazo sema

Sisi tunataka makombe tu apate asipate faida hiyo yake
 
Kuipora Yanga Mikononi mwa wananchi ndio Nini?

Katiba inasema wazi kabisa kuwa Yeyote mwenye kukidhi vigezo ana nafasi ya kugombea na kushinda nafasi za uongozi klabuni.

Kwani watu wanataka wakina Ndsajigwa na Oscar Joshua ndio wagombee izo nafasi?
 
Vipi kuhusu conflict of interest ?

Sijajua ipi maana yako halisi ya neno “Conflict of interest”

Kwa namna ninavyo fahamu ni a situation in which a person is in a position to derive personal benefit from actions or decisions made in their official capacity.

Sasa ni namna gani patakuwa na CoI kama muajiriwa na muwakilishi wa GSM kwenye Yanga Ltd akawa kabisa ndio Mwenyekiti ya Yanga LTD!

Huoni hapo ndio atafanikiwa zaidi kutekeleza majukumu yake anayoagizwa na GSM kwa klabu?
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Endelea kupanua magoli , sisi hatutaki muanze kulialia huko mbele , ndio maana tunawasaidia .

Hivi kwa mfano Yanga ikaingia kwenye Mgogoro na GSM unadhani Hersi atakuwa upande gani ?
 
Yaan wew kolo leo hii useme unatusaidia wananchi.

Embu tuache ubabaishaji sisi wananch tunakatiba yetu ambayo kila mwanachama aliye na sifa ataomba kulingana na nafasi zilizopo na anayostahili.

Sisi hatupo tena huko kwenye kulia lia kama unavyosema na ndo maana tumekuja na digital transformation system.

Tunataka mambo ya kisasa na niseme tu kwa ulande wangu ndani ya mda mfupi maono ya kijana mwezetu Eng Hersi...nazani yataifikisha club mbali zaid.

Mpira wa sasa unahitaji new era generation.

Angalia vilabu kama Psg ,monaco,A.madrid na vingne vingi vijana wadogo wameaminiwa na wanaendesha mambo kisasa kabsa.

NB: mpira kwa nyakati hizi ni biashara ambayo ndani yake unapata burudani na ukitaka mambo makubwa uwekezaji haukwepeki. Gsm ,Mo na wengne tuwape ushirikiano..bila wawekezaji hatutoboi.
 
Sio kupora tu inabidi GSM wapeane hadi vyeo vyote kuhimu pale Yanga na timu I we yao milele na milele

Binafsi GSM waendelee kuupiga mwingi coz naona wapinzani wanaanza kuunga mkono juhudi zao

Naelewa maumivu yenu wanasimba juu ya uwepo Wa GSM pale Yanga
 
Endeleeni kusifia , sisi tunawachora tu
 
Ya chadema yamekushinda unaanza kuvamia yasiyokuhusu.

Nadhani utakuwa na uslow leaner Fulani hivi.

Kwani Hers siyo mwanachama wa yanga? Hana sifa za kugombea? Ameiba kura? Amevunja kanuni? Au nin kinskufanya useme wananchi wanaparwa timu?

Akili zako ni ndogo sana hata ukieleweshwa vipi huwezi kuelewa badala upote muda kufuatilia ya mudi na 20bn hewa ufautilia yasiyo kuhusu.

By way sijawahi kuona mtu akawa chadema akawa na akili timamu zaidi ya Mbowe.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom