Mbane kwenye sheria, je sheria za Tanzania zinaruhusu hayo mambo?Anaandika Upete
Kiwanja Milioni 50 Square Meter 400 ✍️
Mwenye Kiwanja anataka Milioni 40. Dalali anaongeza Milioni 10 ✍️
Kule kwenye UTALII nako wameingia Madalali😳🙌
Tuandae mpango kazi mzuri haraka wajameni…! Miaka minne ijayo Ardhi hatutagusa bei kwa mwendo huo✅
Sio mbaya tukaangalia na Position ya DALALI na mastahiki yake…! REAL ESTATE na UTALII ni kama tunavisahau hivii…!
Nafikiri Farhan M Kihamu ameeleza vyema tu na watunga sera sio mbaya mkasaidia kunusuru hii✍️
MR PERFUME
Makubaliano yaliyo nje ya scope ya sheria husika ni batili.Sheria itakosa nguvu .....since yanakua ni makubaliano baina ya watu wawili
Kuna mtu kashakujibu , makubaliano nje ya sheria ni ubatili.Sheria itakosa nguvu .....since yanakua ni makubaliano baina ya watu wawili
Bora Wewe umesema,Kuna mdogo wangu alikuwa anauza kiwanja M5,kilikwama kuuzika kumbe madalali wanawatajia wateja M15!Kimekaa wee Hadi kikaa kimepanda thamani chenyewe kauza M11,baada ya miaka 5!Anaandika Upete