Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
- Thread starter
- #21
mkimaliza huko twende kariakoo, haiwezekani nishafika dukani na mwenye duka hatambuliki ni nani unaishia kuzungukwa na watu wawili watatu, hii kamisheni ya namna gani wakati nishafika dukani?
Hawa wanajiita mawingamkimaliza huko twende kariakoo, haiwezekani nishafika dukani na mwenye duka hatambuliki ni nani unaishia kuzungukwa na watu wawili watatu, hii kamisheni ya namna gani wakati nishafika dukani?