appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,939
- 3,259
Hutaki ulizia nyumba kwa nyumba mwenyewe kariakoo mwenye jengo anataka milion moja dalali analipa kodi mwaka mzima milion 12 alafu anapangisha yeye milion 3 kod ya mwaka milion 36 na mwaka ukiishia kod unampa dalal milio 36 anapeleka milion 12 kwa mwenye nyumba milion 24 anatia mfukon ganji yake hutak tambaaaaa