Ivi hamna akili,si utafute mwenyewe nyumba au chumba/kiwanja? Unamtumia yeye then unataka asikuchaji hela?Madalali ni wezi wakubwa hasa, tena wanaopangisha nyumba na vyumba ndio kabisaa ni wezi kabisa, utaskia ya dalali mwezi m1.
Mxxxiiieeew
Unaweza kumchukua dalali mmoja mkajikuta mko 5 kwemye gari. Dalali huyu anaenda kwa huyu,huyu nae amaenda kwa yule mpaka mnafika lwa dalali aliekabodhibwa nyumba.Huwa kuna msururu wa connection, dalali anayekuunga na mwenye mali nyuma yake mara nyingi huwa kuna madalali wengine si chini ya wawili, hivyo lazima mwisho wa siku wagawane cha juu...
Daaah iyo ilikuwa safi sanaZamani kidogo kulikuwa na madalali wenye ofisi. Walikuwa wana leseni na wanalipa kodi.
Mwenye kitu cha kuuza anakabidhi kwa dalali kwa makubaliano ya asilimia ya kamisheni.
Siku hizi imekuwa shughuli holela inayoondosha hata usalama wa mnunuzi. Dalali hana kituo cha kazi.
Daaah iyo ilikuwa safiZamani kidogo kulikuwa na madalali wenye ofisi. Walikuwa wana leseni na wanalipa kodi.
Mwenye kitu cha kuuza anakabidhi kwa dalali kwa makubaliano ya asilimia ya kamisheni.
Siku hizi imekuwa shughuli holela inayoondosha hata usalama wa mnunuzi. Dalali hana kituo cha kazi.
Tasnia imevamiwaImagine sasa hivi Dodoma kiwanja tu tena ndani ndani huko hakuna umeme wala barabara lakini kinauzwa bei ghari kuliko IST
inabidi nawe uende kama dalaliKumpata mmiliki halali itakucost muda badala ya kutumia wiki moja itakugharimu miezi 3 au 6 ili upate na kumbuka hao wamiliki wanakuwa na uhusiano wa kibishara na madalali na hawataki kusalitiana wanawekeana viapo vya kutozungukana ukiwafuata wewe wanaficha
kuna mtu kakataa kuchajiwa pesa hapa,....?Ivi hamna akili,si utafute mwenyewe nyumba au chumba/kiwanja? Unamtumia yeye then unataka asikuchaji hela?
Kiwanja cha Bilioni uliona wapi ?Kuna muhindi kasema alitaka kununua uwanja Dar kaambiwa 300million .....anasema Dar viwanja ni bei kuliko US
Utazunguka sana hadi upate hilo eneo linalouzwa wale majamaa wana mtandao mpana sana yaani madalali wa kuanzia Kibamba hadi Mbezi beach wanajuana akipata mmoja wote wanaambiana wewe ukitembea utafute huoni kitu hadi hela zako zinaisha kwa matumizi mengine na eneo hujapatainabidi nawe uende kama dalali
Umesoma comment nimemjibu nani? Au wewe ndio admin wa thread zote humu?kuna mtu kakataa kuchajiwa pesa hapa,....?