Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana.
Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection.
NB: Leo kuna mlevi mmoja aliropoka "Nyie mnaojitolea mkipata ajira au mkataba niiteni mbwa, nimekaa paleee."