fresh graduates wao wenyewe wanapenda ku volunteer. wanapenda ile hali ya kuonekana kwenye corridors za jengo la taasisi/kampuni fulani huku wakijifariji kwa hisia za kujiona na wao ni sehemu ya waajirwa.
ktk taasisi niliyokuwa nafanyia kazi siku za nyuma, ilikuwa ni kawaida kukutana na vijana getini na bahasha zao za kaki, wakiulizia masuala ya internship au kufanya kazi kwa kujitolea(volunteering).
yaani hata uweeleweshe vipi, hawakuelewi. yupo mmoja aliwahi kuniambia yeye shida yake sio kuajiriwa bali aonekane tu anashinda maeneo yale ili apate exposure.