Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

Mashirika ya serikali, taasisi, NGO, makampuni binafsi mengi sana yanayo watu wengi mno wa kujitolea. Mpaka hawa wawekezaji wanaokuja kuwekeza Tanzania na wenyewe wamesomba ma intern, volunteer wa kutosha.
Wengine hawakupi hata buku la maji.
Ndiyo muendelee kujitolea sasa msilalamike kwa kisingizio cha kupata ujuzi, huku wenzenu wanachuma pesa kisha wanaondoka.
 
Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana.

Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection.

NB: Leo kuna mlevi mmoja aliropoka "Nyie mnaojitolea mkipata ajira au mkataba niiteni mbwa, nimekaa paleee."
Ni unyonyaji wa nguvu kazi unaoendekezwa na sekta binafsi kwa baraka ya serikali. Unakuta wanazungusha tu watu wakiwalipa peanut huku wahitimu wakiwa na matumaini kuajiriwa lakini wanahakikisha hawawaajiri.
Mbaya zaidi ni pale serikali yenyewe imeingia kwenye huu uhuni wa kuvunja sheria. Wanawatumia wahitimu wenye kiu ya ajira ya kudumu kwa muda mrefu watakavyo kwa kuwasainisha mikataba mipya kila muda wa kisheria kuweka vibarua ukiisha. Cha kuumiza zikitokea nafasi badala ya kuwapa ajira wanakuja wengine toka mfumo wa ajira serikali wakiwa wamepata ajira ya kudumu.
Kwa upande wa serikali inafaa kurekebisha hii kasoro kwa kuwapa sjira ya kudumu wahitimu waliyotumika muda mrefu kama intern au kwa mikataba ya muda mfupimfupi.
 
Yaani wanakupa moyo balaa. Ukisepa tu hawakutafuti na inapita hata miaka mitano [emoji1787]. Halafu wiki inayofuata baada ya kumaliza internship unaona wanatangaza wanahitaji interns wengine.

NB: Kuna mashirika mengine intern wanaorudi ni wadada weupe wenye TAKO KUBWA ambao wapo tayari kugawa utamu
Kwanini lakini umesema weupe??!!!! Mbona mnatuonea sana?!
 
Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana.

Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection.

NB: Leo kuna mlevi mmoja aliropoka "Nyie mnaojitolea mkipata ajira au mkataba niiteni mbwa, nimekaa paleee."
fresh graduates wao wenyewe wanapenda ku volunteer. wanapenda ile hali ya kuonekana kwenye corridors za jengo la taasisi/kampuni fulani huku wakijifariji kwa hisia za kujiona na wao ni sehemu ya waajirwa.

ktk taasisi niliyokuwa nafanyia kazi siku za nyuma, ilikuwa ni kawaida kukutana na vijana getini na bahasha zao za kaki, wakiulizia masuala ya internship au kufanya kazi kwa kujitolea(volunteering).

yaani hata uweeleweshe vipi, hawakuelewi. yupo mmoja aliwahi kuniambia yeye shida yake sio kuajiriwa bali aonekane tu anashinda maeneo yale ili apate exposure.
 
Duh!
 
Huu ujinga ni wa kukemewa kabisa
Unakuta mtu yupo Bank kubwa za binafsi
Anafanya interm mpk unajiuliza hii bank imeshindwa kumuajiri huyu

Unapiga intern sjui miaka miwili
Unavoluntia miaka mitatu, hivi miaka mitatu unavoluntia nn sasa? Upumbavu
 
Ofisi za private wanapenda kutengeneza pesa pasipo kutumia pesa
Na ttz la ajira lilivyo sasa hv bas imekuwa upenyo
 
fresh graduates wao wenyewe wanapenda ku volunteer. wanapenda ile hali ya kuonekana kwenye corridors za jengo la taasisi/kampuni fulani huku wakijifariji kwa hisia za kujiona na wao ni sehemu ya waajirwa.

ktk taasisi niliyokuwa nafanyia kazi siku za nyuma, ilikuwa ni kawaida kukutana na vijana getini na bahasha zao za kaki, wakiulizia masuala ya internship au kufanya kazi kwa kujitolea(volunteering).

yaani hata uweeleweshe vipi, hawakuelewi. yupo mmoja aliwahi kuniambia yeye shida yake sio kuajiriwa bali aonekane tu anashinda maeneo yale ili apate exposure.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom