Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi


Ahhhhhh. Kwa kweli. Ukiwa na mwanachama kama wewe ujue Chama hicho Ni janga kubwa. The way you reason. It’s a pity
 
Mi sijui alichofanya ila bungeni akikosekana Halima mdee, Sugu na Zito Kabwe bunge litapooza sana

Wapigakura wa hayo majimbo hakikisheni mnawarudisha bungeni

Maendeleo hayana chama
 
Hahaha
Wewe ni muislam kweli?

Unaishi kama mlivyokaririshwa
 
Tangu ulipopata kura 1 kura za maoni, tena kwa zile sera zako ulizokuwa unazinadi, nimekudharau na kukushusha mnooh.
Njaa mbaya San, poleeeeh
 
Kabla huja mlinganisha aunt Halima na Gwajiboy kwanza angalia vyanzo vyao vya mapato maana Halima chanzo chake kikuu cha mapato ni ubunge pekee ila Gwajiboy anakula sadaka,zaka na misaada halafu kuna tetesi kuwa ni zungu la unga(hii ni kwa mujibu wa kada mwenzako DAB)
 
Basi kama mbunge hana mchango wowote jimboni kwake,hakuna haja ya kuwa na mbunge.
Mimi nilivyomuelewa Paskali ni kama Mdee was like a rolling stone,hana impact katika miaka kumi.
Swali je ni kweli hakuna kitu Mdee alitimiza katika jimbo lake?
Mimi nategemea watu makini wamjibu Paskali kwa kuorodhesha kazi alizofanya Mdee jimboni kwake.
 
Pascle umezeeka vibaya. Kwani unachuki binafsi na Mh.Mdee? Hautolea mfano mbunge wako wa CCM aliyefanya hayo unayoyatamani. Kwanz uko ulipo hawakutaki hata kukuona, salam ulizopata kweny maoni zilikuwa jibu tosha. Na huyo aliyekuita NJAA hakutaki, angekutaka angekufanyia wepes Kawe kama alivyonfanyia Petrobas Shinyanga. Wee tulia pumzika na uzee wako mkuu
 
Na ndiyo maana hayupo mfanyakazi wa nchi hii mwenye akili zake timamu kichwani, anaweza kumfagilia huyo magufuli kwa chochote.

Kiufupi tu hana faida kwa wafanyakazi wa nchi hii. Amejawa tu na dharau, kiburi, roho mbaya na ya kikatili, ubinafsi, unafiki, ubaguzi, nk. Nachelea tu kumuombea mabaya kwa sababu na yeye ni binadamu kama mimi! ila kiukweli anatuzingua sana wafanyakazi.
 
Unataka afanye nini kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…