ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mwishowe sana sana utaambiwa wana kawe walikosea kuchagua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usitwambie ccm imefanya nini Kawe kwa miaka 60 ikikusanya kodi zao?
Huyu Mayala kweli Mayala, njaa imempanda kichwani
Uko sahihi mkuu,huyu Pascal badala ya kumjadili mgombea wao kigeugeu unamrukia Halima hivi wamelogwa??Halafu mccm analeta mada hapa tumfanyie assessment Halima kwa lipi watamfanyia fair??wazinzi na wakabila hawawafanyii assessment mimi nadhani huyo na hao waliompitisha mzinifu ndio wakufanyiwa assessment maana huyo mgombea wao hata wajumbe walimkataa vitu vya ajabu kabisa hivi.
HahahaPaskali nisiwe mnafiki siwezi mchagua Gwajima kwakuwa alishasema anataka kuigeuza misikiti kuwa Sunday schools, nikiwa kama muislam nawaza huyu hakuwa na madaraka aliongea vile je nikimkabidhi madaraka itakuwaje? Mimi ni muislam na najivunia kuwa muislam
Mmeshajibiwa kwa kuulizwa hivi hamjui kazi za mbunge?wananchi mlioko Kawe mnaulizwa Mdee kafanya nini jimboni kwake?
Hili swali bado halijajibiwa pamoja na uzi umefika page ya 9
Ungekuwa mtu ningekujibu lkn kwasababu wewe ni msanii basi nakuachaHahaha
Wewe ni muislam kweli?
Unaishi kama mlivyokaririshwa
Mkuu hili swali akikujibu ni tagiKwa nini usitwambie ccm imefanya nini Kawe kwa miaka 60 ikikusanya kodi zao?
Huyu Mayala kweli Mayala, njaa imempanda kichwani
Unataka afanye nini kwa mfano?Ask what u will do for Tanzania and not what Tanzania will do for u!! HILI NDIO NDIO MSINGI WA SWALI LA PASCAl Je mdeee Kalifanyia nini jumbo LA Kawe kama sio Kuomba Seikali kila siku pamoja na kwamba serikali inajukumu kuhusu wana kawe Je mbunge Wa wanakawe pasipo Serikali kafanya nini
Naunga mkono HojaKwa kuwa Gwajima ana uwezo wa kuwaletea Wananchi maendeleo bila hata kuwa mbunge, kuna haja gani ya kumchagua sasa ?
Wana Kawe mchagueni Halima Mdee, Gwajima mwacheni aendelee kuleta maendeleo kama Mwananchi wa kawaida mkazi wa Kawe.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app