1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Wala sio Ngosha wote Bali ni wale walioahidiwa Madaraka na wale wanaopata Tenda na ajira za kupeana kwenye miradi yote.Kina Ngosha hamuwezi kujizuia ukabila, itawagharimu....hiki mnachokitafuta mtakapokipata mtakikimbia wenyewe.
Hawazidi hata familia 20 . Hawa wachache sana ndio wanaojimilikisha nchi .
Wengine wote ni wasindikizaji tu kama wengine. Kinachofanyika hao wachache kwa sababu wananufaika wanaeneza Propaganda na porojo Kila kukicha huku wakiwaumiza wananchi kwa kuwaita Wanyonge ili hali wao hawajui hata kitu kinachoitwa umaskini. Wanaogelea kwenye mihela halafu wanawadanganya Watanzania kuwa wao nao ni maskini.