1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Wala sio Ngosha wote Bali ni wale walioahidiwa Madaraka na wale wanaopata Tenda na ajira za kupeana kwenye miradi yote.Kina Ngosha hamuwezi kujizuia ukabila, itawagharimu....hiki mnachokitafuta mtakapokipata mtakikimbia wenyewe.
Ukweli humwacha mtu huru paschal,Gwajima ndie the best wa Kawe
P
Wazee wa BirminghamGwajima ndie the best wa Kawe
P
Bora ww kuliko gwijiboyGwajima ndie the best wa Kawe
P
Kwa mujibu wa nidhamu ya chama chetu, mgombea yeyote anayepitishwa na chama, ndiye the best.Bora ww kuliko gwijiboy
Duh...!, laiti ungelinijua mimi ni mtu wa type gani!, mimi sio mtu wa ile type ya kukimbia uzi, nasimama nao, swali bado ni very valid, Halima Mdee kafanya nini Kawe kwa miaka 10!.Leo P lazima akimbie huu uzi kudadeki
Sijifunzi na pia nimetoa sababu za kumkataa huyo mnaempigia kampeni, nikiwa kama muislam na mkazi wa makongo siwezi kumkubali mtu anaetaka uislam upotee hapa tzNaona wewe unajibu swali ambalo halijaulizwa; ingekuwa mtihani ungepata sifuri
Mtoa mada ameuliza atajiwe mambo aliyo yafanya Halima Mdee kwa miaka 10; wewe unaleta swali tofauti kabisa na kulitoa jibu? Jifunzeni basi kujibu maswali
Hata wewe ulikuwa na day dreams kuwa ccm itakupitisha kuwa mgombea ubunge kawe, acha kila mtu aishi ndoto zakeMkuu Chakaza, hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Halima kupambana na serikali. Swali la uzi huu ni Halima ameifanyia nini Kawe kipindi chake cha miaka 10?.
Kwa vile pia ni ruksa mtu kuwa na dreams, na ndoto nyingine ni day dream za mchana kweupe, keep hopping for the best kuwa mtashinda, but get prepared for the worst ili usipate psychological depression.
P
Unamuongelea huyu mla kondoo?Sijifunzi na pia nimetoa sababu za kumkataa huyo mnaempigia kampeni, nikiwa kama muislam na mkazi wa makongo siwezi kumkubali mtu anaetaka uislam upotee hapa tz
Paskal ulipaswa kutueleza kazi za mbunge kwanza kabla kumpigia debe mtu wako, ila sishangai huyo unaempigia debe una sababu zako kwanza chama kimewataka wote mlioangushwa kuwapigia debe waliopita pili gwajima ni mkristo mwenzio pengine nawewe ungependa misikiti iwe Sunday schoolsDuh...!, laiti ungelinijua mimi ni mtu wa type gani!, mimi sio mtu wa ile type ya kukimbia uzi, nasimama nao, swali bado ni very valid, Halima Mdee kafanya nini Kawe kwa miaka 10!.
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu anacheza na karata, sijui ni kamari au anajifurahisha tu kuombea kura
Ukweli upo wazi gwaji hana mpinzani , bi kidude hajafanya chochote cha maana jimboni kawe.
Kumbe wew ulikuwa sio the best ndiyo mana hukupitishwaKwa mujibu wa nidhamu ya chama chetu, mgombea yeyote anayepitishwa na chama, ndiye the best.
P
Mkuu kifaulongo , kwanza asante kwa mchango wako , umechangia very objectively, kwasababu tangu bandiko hili lianze, hadi linafika posts 344, wewe ndie mtu pekee uliejitokeza na kujibu at last Halima did something Kawe. Thanks for this.Paskali sijui wewe unaishi Kawe ipi, ila sisi wakazi wa Kawe tunamuelewa sana Halima Mdee. Hana majigambo ila kazi anapiga kwelikweli huyu Dada. Labda kwa uchache tu nikujulishe haya
1) Kule Mbezi Juu mtaa wa ndumbwi ilikuwa mvua ikinyesha mawasiliano yanakatika kutokana na Mto Ndubwi kujaa, leo kuna madaraja mawili hii kila mkazi wa ndumbwi Anajua ni kazi ya Mdee.
2) Waulize wakazi wa msasani maeneo ya Chama, ilikuwa kila mvua inaponyesha ni mateso kwao, Mdee alipambana usiku na mchana kuhakikisha inajengwa mifereji ya maana ya kupeleka maji Baharini. Wananchi wa maeneo hayo huwezi kuwaambia chochote kinyume Halima.
3) wakazi wa maeneo yaliyokuwa na migogoro ya Aridhi kule chasimba nk, Halima alipambana nao mchana na usiku kuhakikisha wanapata haki zao. Huko Mdee huwa hapigi kampeni huwa anauhakika wa kura zote.
4) Leo shule ya Msingi Mbezi Juu imeshakuwa na sekondari, Mdee alishiriki katika kuanzishwa kwake na kujenga vyumba vya madarasa.
5) Barabara za Kawe nyingi zinapitika na daima amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha Kawe inamiundombinu ya barabara.
Tembelea Kawe, ongeo na wakazi wa kawe, zungumza na mtu mmojammoja, utapata majibu ya kwanini Kawe Halima anashida bila shida. Aliikuta Kawe katika hali mbaya sana kutoka kwa Ritha Mlaki, amejitahidi kwa muda mfupi kuifikisha hapo ubapoiona..