Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Pascal Mayalla ni amekuwa mjinga sana this time,badala ya kutuletea blah blah za kijinga zisizo na utaalam wowote ule aitishe hata mchango aombe tumnusuru kutokana na kukosa kabisa kazi ya kumuingizia kipato. Mwambieni tupo tayari kumchangia ili abaki na uhuru wake wa akili ambao anaelekea kuupoteza.

Mada ya kipuuzi sana hii aliyoleta!
 
IMG_20200821_175244.jpg
 
Kwa jinsi siku zinavyokwenda toka upigwe chini kura za maoni ndivyo nazidi kujiridhisha kuwa sikuwa nimekosea kutokukuchukulia mtu makini toka nijiunge Jamii Forums.

Ni mtu unayejifanyaga impartial lakini kumbe sio kweli. Mnafiki na mganga njaa kama wapuuzi wenzio wengi tu.
Pathetic.

Mithread yako huwa imejaa maneno meeengi...lakini mostly ni upumbavu mtupu.
 
Pascal Mayalla naomba nikufadhili na kama unaishi mitaa ya Kunduchi basi nataka nikuchimbie kisima cha mita 60 kwenda chini pamoja na kukununulia submersible pump na nakuwekea na tank kabisa ili ujue kuwa hiyo ni ishu ndogo sana! Ila kwa Kunduchi maji utayatumia kumwagilia bustani maana hata ng'ombe akiyanywa atatema! Kuza akili yako aisee.
 
Kwa jinsi siku zinavyokwenda toka upigwe chini kura za maoni ndivyo nazidi kujiridhisha kuwa sikuwa nimekosea kutokukuchukulia mtu makini toka nijiunge Jamii Forums.

Ni mtu unayejifanyaga impartial lakini kumbe sio kweli. Mnafiki na mganga njaa kama wapuuzi wenzio wengi tu.
Pathetic.

Mithread yako huwa imejaa maneno meeengi...lakini mostly ni upumbavu mtupu.
Sasa wewe umeandika nini hapa!

Zaidi ya kumshukia mtoa mada.
 
Paskali,
Pamoja na busara zako unajifanya kusahau kuwa Tanzania mbunge hana nguvu ya nini kifanyike jimboni mwake. Hela ya matumizi inapitishwa ikulu.
Magufuli alishasema, sitaleta maendeleo kwa ambao hawajanichagua.
Duniani kazi kuu ya mbunge ni kuiwajibisha serikali na kuhakikisha sheria zimetungwa kulinda haki za waliomchagua. Halima mdee kafanya kazi nzuri sana kama madaraka yake yanavyomruhusu. Ccm wamepiga makofi tuu na kumfukuza halima bungeni.
Tafadhali usijaribu kuukwepa ukweli kwa kuzungusha maneno.

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani swali ni serikali imefanya nini kwenye jimbo la Kawe maana jukumu la kuleta maendeleo ni serikali na sio la mbunge. Kama katika miaka 10 ya ubunge wa Halima hapajakuwa na maendeleo Kawe inayopaswa kuhojiwa ni serikali na sio mbunge.

Swali kwa Halima ni je katika muda wake huo amewapigania watu wa Kawe na Tanzania ili wapate maisha bora zaidi? Kwa vile chama chake hakikuwa madarakani, wananchi wanapaswa kuwauliza waliokuwa madarakani kwa nini hawakutilia maanantaina kilio cha mbunge wao?

Kumchagua mtu kwa vile ana pesa za kuchonga barabara ni kujidhalilisha maana mtakuwa mmenunuliwa. Chagueni mtu atakayewapigania ili mtendewe haki kutokana na kodi mnayolipa. Maendeleo sio fadhila, ni haki yenu.
Amandla...
ww ni mkabila sana kwakuwa gwajima ni msukuma mwenzako ndio maana unapigia kampeni kama jiwe huoni tabia chafu ya ngono
 
Nadhani swali ni serikali imefanya nini kwenye jimbo la Kawe maana jukumu la kuleta maendeleo ni serikali na sio la mbunge. Kama katika miaka 10 ya ubunge wa Halima hapajakuwa na maendeleo Kawe inayopaswa kuhojiwa ni serikali na sio mbunge.

Swali kwa Halima ni je katika muda wake huo amewapigania watu wa Kawe na Tanzania ili wapate maisha bora zaidi? Kwa vile chama chake hakikuwa madarakani, wananchi wanapaswa kuwauliza waliokuwa madarakani kwa nini hawakutilia maanantaina kilio cha mbunge wao?

Kumchagua mtu kwa vile ana pesa za kuchonga barabara ni kujidhalilisha maana mtakuwa mmenunuliwa. Chagueni mtu atakayewapigania ili mtendewe haki kutokana na kodi mnayolipa. Maendeleo sio fadhila, ni haki yenu.
Amandla...
umeongea kama mtu timamu! huyu mayalla au njaa, namshauri aingie mazima pale anapojua wote tunajua yupo. unafiki katika kauli zake za kisera na mlengo haumsaidii. kuwa ccm si dhambi. kweli heshima kuishusha ni sekunde.
 
Nadhani swali ni serikali imefanya nini kwenye jimbo la Kawe maana jukumu la kuleta maendeleo ni serikali na sio la mbunge. Kama katika miaka 10 ya ubunge wa Halima hapajakuwa na maendeleo Kawe inayopaswa kuhojiwa ni serikali na sio mbunge.

Swali kwa Halima ni je katika muda wake huo amewapigania watu wa Kawe na Tanzania ili wapate maisha bora zaidi? Kwa vile chama chake hakikuwa madarakani, wananchi wanapaswa kuwauliza waliokuwa madarakani kwa nini hawakutilia maanantaina kilio cha mbunge wao?

Kumchagua mtu kwa vile ana pesa za kuchonga barabara ni kujidhalilisha maana mtakuwa mmenunuliwa. Chagueni mtu atakayewapigania ili mtendewe haki kutokana na kodi mnayolipa. Maendeleo sio fadhila, ni haki yenu.
Amandla...
📌📌📌📌📌
Swali wana KAWE wanahitaji MFADHILI ama wanahitaji MBUNGE??

Pasco kaja na kampeni kwa sukuma empire.

Kawe wanahitaji mbunge wa kusimamia serikali na siyo mfadhili..

Mahali pengi watz, wanashindwa kutofautisha, na hii imepelekea bunge kuwa kibogoyo..

Hawa watu hawaisimamii tena serikali bali wanajisimamia wao na miradi yao..

Everyday is Saturday...............................😎
 
Mi akiahidi atatekeleza sera yake ya kufanya misikiti nampa kura.waislamu hii fursa ya kumfunza adabu haitajirudia
 
Gwajima alishasema hawezi kutaka ubunge wala urais kwani huko yeye kama mtumishi wa Mungu itakuwa ni kujishusha hadhi.

Urais na ubunge alisema ni kuwatumikia wanadamu.

Gwajima alirekebisha lini maneno yake hayo? Huu si ndiyo ule uaskofu uchwara?

Ila mkuu tangia sakata la Assad, likaja la wajumbe kawe yaonekana zile teuzi unazinyatia nyatia!

Pole lakini maana uteuzi zimekuwa zikikupitia mbali.
 
Back
Top Bottom