Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

Kw jinsi jina lako lilivyokubwa hapa jf sijategemea uweke hoja kama hii hapa.

Gwajima anakusanya sadaka (fedha + mali) kutoka kwa wanannci kisha amechimba kisima kaweka na mita ili afanye biashara ya maji.
Serikali inakusanya kodi(fedha+mali) kutoka kwa wanannchi, basi na iweke miradi ya kusaidia wanannchi hapo Kawe. Kama hakuna kitu basi tuikosoe serikali na kisha tuikumbushe kuwajibika kwa wanannchi ambao inaenda kukusanya kodi kwao.

Halima anakusanya fedha zipi kutoka kwa wanannchi ?

Hii hoja haujaiweka vizuri ili iwe hoja hasa, nadhani ushabiki wa vyama umekukengesha.
 
Unatafuta kiki ya uDC. Kwa mantiki hiyo kawe Kuna gwajima hakuna serikali ? Ukipewa msaada unatoa kura sio?
 
Anko anko ,tafadhali anko jimbo la kawe nendeni kwa step ,la sivyo mtalipoteza ,usijidanganye kabisa

Ccm kawe inampasuko hamko wamoja ,kata ya msasani na Mikocheni msiziamini
Paskali ni Mbabaikaji siku zote naona anataka avute mpunga kwa gwajiboy, hata hivyo ccm nao walichemsha kumuweka huyo askofu hko was ipo angalia watapoteza jimbo kimasihara

Ova
 
Kwani wewe ni mkazi wa kawe?tulia
 
Imekuuma sana mkuu, pole sana! By the way swali la mtani wako Paschal bado hujalijibu, Je Halima Mdee amefanya nini cha maendeleo jimbo la Kawe? (Kwa pesa zake binafsi nasistiza)
 
Imekuuma sana mkuu, pole sana! By the way swali la mtani wako Paschal bado hujalijibu, Je Halima Mdee amefanya nini cha maendeleo jimbo la Kawe? (Kwa pesa zake binafsi nasistiza)
Yeye Pascal au Gwajima wamefanya nini? Au unazungumzia hizo sadaka za wapendwa? Halafu Pascal akishapewa ofa ya bia anakuja huku mbio mbio kufungua uzi zisizo na kichwa wala niguu
 
Maswali kuntu hayo.
 
We jamaa ni mnafiki hadi shetan anakushangaa.....kwetu mtu mnafiki km wew ni mchawi
 
Mkuu Halima hakusanyi kodi ,hilo swali ungeiuliza serikali iliyopo madarakani kodi za wananchi wa Kawe vipi mbona hamjawapa hiki wala kile.

Kazi ya serikali ni kuwapa wananchi wake huduma muhimu kama maji,barabara,elimu nk.
 
Hivi kweli katika wana CCM wote umemchagua huyu Tapeli kumpigia debe. Huyu jamaa aliyefake kufa halafu akajifufua. Huyu jamaa anayedai kufufua watu...... This is too low my home boy.
 
P. Anamfanyia kampeni huyo gwijimambo huku yy alipata moja, tafsiri yake ni nini? Nani atamsikia sasa wakati mwanzo walimkataa?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
UBUNGE SI MADARAKA BALI UWAKILISHI, MADARAKA NI UKUU WA MIKOA, U DC NK.
 
Hakika umetoa majibu mujarabu kwa Pascal Mayalla na wengine wengi wenye akili za kuvukia barabara.
 
Paschal, unataka Halima atoe ajira? Atoe mitaji midogo midogo? Ajenge barabara? Apunguze kodi?

Maswali hayo unaweza kumuuliza mtu uliyempa fedha za kufanya hayo na ukafanya audit kama kafanya au la. Nje ya hapo iulize serikali.

Kumbekuwa na tabia ya kuhoji wapinzani wamewafanyia nini wananchi. Ingekuwa wabunge wa CCM wanafanya hayo unayodai kutoka wapinzani, nchi hii ingeishakuwa kwenye group la G7!!

Unafiki na fitna ni sifa muhimu za mwanaCCM! Sikushangai!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…