Je, halimashauri wangekodi mabasi jua lisingezama? Ni lazima kila mmoja awe na gari Arusha?

Kumbuka DED licha ya kuwa ni mteule wa Rais lakini pia ni mtaalamu, kwahiyo wakifa huoni tunapoteza wataalamu wengi kwa pamoja?
Hana impacts yeyote hata akiwa,Utaalamu gani wa ded anaoufanya pale Halmashauri wakati Kila kitu kinafanywa na wakuu wa Idara?
 
Huenda hujui majukumu ya DED mkuu, bila kuwa mtaalamu mbona hao wakuu wa Idara na Vitengo wanaweza kukupoteza maboya na kujikuta umeitia hasara Serikali
 
Rais ni mtaalamu? Wewe ndio hujui,Ded hana Utaalamu wowote ndio maana wamejaa makada.

Akupoteze kwa.lipi wakati ni swala la kuhojiana tuu? Ded ndio Huwa anaandaa BoQ au michoro? Lakini umewahi ona ameshindwa kusimamia Barabara au daraja? Utaalamu upi? System yenyewe automatically inafanya kazi
 
Kwa lugha rahisi ningesema Maded ni Wasomi, hivyo ni hasara kuwapoteza wengi kwa pamoja
 
Tanzania ina matumizi makubwa ya anasa haswa
Yaani ndugu yangu, mie nilipata bahati ya kuishi na kufanya kazi Botswana. Wale jamaa, kama ni kujitahidi kwa serikali kuwa na financial displine Kwa kila sector wamejaribu...Yaani mambo kama ya matumizi ya gari za serikali Kwa wafanyakazi/ viongozi, ilikuwa ni dereva anapaki atapaki gari mwisho saa 12, zaidi ya hapo tumia usafiri wako uliokopeshwa mkopo basi. Halafu mkienda safari sijui mikutano sehemu, kule mambo ya malazi ,sijui chakula mtakula hotelini mlikopangiwa na kulipiwa na serikali, hadi mkutano uishe. Mambo ya sijui posho/ per diem kulikuwa hakuna... nafikiri kutoka nidhamu walikuwa nayo wamekuwa afadhali sana kiuchumi/ki maendeleo. Sasa Tz naona serikali labda kwa kutokuwa na mifumo nidhamu kali ya matumizi ya fedha, na kwa kuendekeza matumizi ya anasa na yale yasio ya lazima, wakati nchi yetu bado ni nchi maskini, kwa kweli na bila kubadilika na kuwa na strict government financial displine, changamoto hiyo itaendelea kututesa na kuwa moja ya vikwazo katika kupata maendeleo yenye tija, ktk nchi yetu maskini kama Tz kwa kipindi kirefu......
 
Huku mtu analipwa kwenye taasisi zaidi ya 3 kwa siku moja sababu mifumo haisomani, nilifanya kazi na shirika la JIHPIEGO wale jamaa ukilipwa Tanzania kesho yake ukalipwa Kenya system ina-reject yenyewe hakuna double payment huku jamaa Mbunge analipwa Bungeni kumbe saa hiyo yupo kwenye kikao cha bodi TANAPA jioni yake yupo halmashauri atalipwa siku hiyo hiyo.
 
Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima.

Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara wakachukua Yutong moja safi kabisa wakaja nayo Arusha. Je, jua halitazama? Arusha wakifika wanaweza kodi tax za kuwapeleka mkutanoni na kuwarudisha hotelini, lakini kwa taifa ambalo kuanzia Mkuu hadi Chini ni watu wa matumizi, hili haliwezekani.

Mzigo unaishia kwa kuongeza tozo kwa raia ili kuhudumia halmashauri kwa sababu ya matumizi ya anasa. Ukiwakuta juu ya majukwaa wanalia lilio cha mamba kwa shida za wananchi.

Arusha kwa leo, ukikata kona unakutana na gari za halmashauri mara Kibondo, mara Kishapu, mara Manyoni. Hapo bado, ma V8 ya wakurugenzi ambayo hayana maandishi yoyote.

Na hapo anaye fungua mkutano utasikia anawaambia waongeze juhudi kwenye kuhudumia raia. Huku nje ya ukumbi, kukiwa na magari 400 plus, na hapo hapo vijijini kumejaa project zinazoendeshwa kwa michango ya wananchi wanaochangishwa kwa nguvu na wala sio kwa hiari yao.

Hawa ndio watawala tunangoja watufikishe uchumi sawa na Vietnam au Thailand au Malaysia.

Ukiwakuta viongozi wakuu kama Rais, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wanavyolia, utajua wako serious na kuinua hali za maisha ya wananchi, kumbe ni hadaa tupu. Hakuna kiongozi ndani ya CCM yuko interested kuondoa umaskini.
urefu wa kamba unaruhusu
 
Hilo nalo muende mkalitazame...alisikika mama fulani mpiga mwingi hadi kwenye matope!.
 
Marais walipopandishwa kwenye mabasi kule UK nilimsikia mkurugenzi mmoja akisema yeye haweZi kupandishwa staff bus!
NB: mtoa mada usiishie tu kutaja idadi ya magari weka pia be na gharama za uendeshaji. Mwisho weka idadi ya magari yaliyotelekezwa kwenye parking za halmashauri!

Nchi hii tatizo kubwa ni wengi akili hazijakaa mahala pake
Ni kweli ukifika halmashauri unaweza kulia gari linaoza parkingi simply matairi mawili kati ya manne ni vipara.Wakati huo huo michakato ya kuomba kibali TAMISEMI cha kununua gari/magari mengine unakuwa umepitishwa na baraza la madiwani .Nchi hii hela za umma zinachezewa kuliko watu tunavyodhania
 
Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima.

Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara wakachukua Yutong moja safi kabisa wakaja nayo Arusha. Je, jua halitazama? Arusha wakifika wanaweza kodi tax za kuwapeleka mkutanoni na kuwarudisha hotelini, lakini kwa taifa ambalo kuanzia Mkuu hadi Chini ni watu wa matumizi, hili haliwezekani.

Mzigo unaishia kwa kuongeza tozo kwa raia ili kuhudumia halmashauri kwa sababu ya matumizi ya anasa. Ukiwakuta juu ya majukwaa wanalia lilio cha mamba kwa shida za wananchi.

Arusha kwa leo, ukikata kona unakutana na gari za halmashauri mara Kibondo, mara Kishapu, mara Manyoni. Hapo bado, ma V8 ya wakurugenzi ambayo hayana maandishi yoyote.

Na hapo anaye fungua mkutano utasikia anawaambia waongeze juhudi kwenye kuhudumia raia. Huku nje ya ukumbi, kukiwa na magari 400 plus, na hapo hapo vijijini kumejaa project zinazoendeshwa kwa michango ya wananchi wanaochangishwa kwa nguvu na wala sio kwa hiari yao.

Hawa ndio watawala tunangoja watufikishe uchumi sawa na Vietnam au Thailand au Malaysia.

Ukiwakuta viongozi wakuu kama Rais, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wanavyolia, utajua wako serious na kuinua hali za maisha ya wananchi, kumbe ni hadaa tupu. Hakuna kiongozi ndani ya CCM yuko interested kuondoa umaskini.
Umasikini wa Mtanzania ni mtaji wa CCM kisiasa, Kwaiyo sahau CCM kuondoa umasikini.
Japan ni watengenezaji wa Ma-V8 lakini viongozi wao wa kitaifa Mawaziri na Waziri Mkuu na Mfalme wanatumia Toyota Crown!
Sasa nchi inayoitwa masikini RC anatembelea gari la Milioni 500,aliyeturoga kafa!
 
Hii nchi tumekwama kabisa kwenye leadership toka uhuru hadi sasa.
Uongozi mbaya/mbovu ni chanzo kikubwa cha umaskini na ufisadi tulio nao.

Ni aibu jinsi muundo, mipango na uendeshaji wa serikali ulivyo....na bado wanang'ang'ania kutawala!
CCM kuwajibika hawataki 🤔

Katiba Mpya + good leadership, ndani ya miaka kumi tunapiga hodi uchumi wa juu.
 
Back
Top Bottom