Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Post paid ya tigo iko vzrKama kwa matumizi ya kawaida bado hiyo kasi sio mbaya sana, ila mwisho wa mwezi huu nitaleta mrejesho juu ya uzoefu nilioupata kuhusu hizo laini zao maalum na kifurushi hicho cha unlimited.
Maana nimejiunga tarehe 28/07/2024, hivyo bado siwezi kusema nimeijua vyema huduma hii ipo vipi. Ila kwa watakaotaka kujua hasara na faida za huduma hii, basi nitakuwepo hapa tarehe 29/08/2024, Mungu akipenda, nikitoa ufafanuzi wa mwanzo hadi mwisho kuhusu kifurushi hicho