Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

Post paid ya tigo iko vzr
 
Mwezi huu nimetumia gb 90 baada vodacom kasi ile gb 24 ya kasi ilikuwa inafika hadi mb 40 kwa sekunde ila baada nilikuwa natumia kwa ajili ya instagram ,twitter na kudownload vitu vidogo ila kudownload movie ipo sana maans inakuwa kbs 400 kwa sekunde all in all ni nzuri if you are a mid person.
Ila kama ni mtu wa speed itakuwa shida mana nilikuwa nastream tv kwenye tv ila ilivyOkata gb 24 mateso all in all ni nzuri ila youtube mwisho 360p
 

Attachments

  • Screenshot_20241007_111240_Settings.jpg
    71.2 KB · Views: 21
Mie natumia halotel ya elf 50 sijawahi kujuta nakuwa youtube kwenye tv vizuri tu
Sijajua na naingia kwenye dilema , nilijiunga tarehe 12 sept lakini ilipofika tarehe 26 ikaanza kupungua nikawauliza, wakanijibu kuwa kuna tatizola mtandao , lkini hata leohii naambiwa labda b u ndle limek at a s a s a sijui inakuwa na usahihi ni ipi
 
kifuruh cha unlimited hakipo tena jiunge vifurush vingne achana na hiko cha 50k sio wewe ni kwa wote ilitukuta
 
ukimaliza Gb 25 za mwazo wanakupatena GB 77 za ziada na baada ya kumaliza hizo zote ndio speed inashushwa mpaka 2mbps.
Mpaka GB ngap? Ama ni unlimited baada ya hapo? Ukitumia 1TB still ni 2mbps?
 
Mpaka GB ngap? Ama ni unlimited baada ya hapo? Ukitumia 1TB still ni 2mbps?
Ok, nimekuelewa, ila sasa kwa matumizi yangu itakuwa ngumu kugundua ukomo wa hiyo speed ya 2Mbps. Kwa mimi, matumizi yangu hayazidi GB 400+ kwa mwezi, kwa hiyo sijawahi kugundua ukomo wa hiyo 2Mbps. Ila, kwa maelezo yao kutoka customer care kuwa hiyo 2Mbps ni unlimited, tatizo ni kwamba mara nyingi wanakuwa hawana ukweli kwenye taarifa zao kuhusu hichi kifurushi.
 
GB 400 ni figure nzuri mkuu, Asante kwa feedback.
 
Hapa mtaalam una maoni gani?

Hawa ni halotel bando la kawaidaView attachment 3268925
Speed kawaida tu mkuu, sio kubwa wala sio ndogo, matumizi ya kawaida kustream HD video, kuangalia mpira, kubrowse etc ipo vizuri kiasi chake.

Issue hapo ni hio ping, kubwa sana, Halotel walikua na ping around 20ms sijui kimewakuta nini, ama upo mkoa wa mbali? Ukiweka 3G pia inakua kubwa hivyo?
 
Voda hawana hii huduma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…