class75
Member
- Sep 11, 2017
- 72
- 138
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tundu Lissu labda....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tundu Lissu labda....
Wengine Sio watangazaji lakini tunajiamini tuko vizuri .mbona huyo wakawaida sana.
Punguza wivu mkuu, mie nimesoma nae course moja kabisa ya PPM, wacha wanaomsifia wamsifie usiumie roho.Huyo mutente msela tu, tumelala nae pale block 2 udom wa kawaida acha ushamba
Wewe si unao watoto au hilo halikuzuii kufanya uhuni?
Alafu ilivyo mtihani kuung'amua huo 'umashine' wa muhusika, tofauti na pesa zitaonekana, au utanashati unaonekana kirahisi.Nasikia hii kauli ya "Mwanaume mashine ni kujipooza tu".
Unakuta mtu ela hana, sura hana, anajisifu Mwanaume mashine.
Sio ajabu hata Mashine kwake ni shidaaaa

HahahaNasikia hii kauli ya "Mwanaume mashine ni kujipooza tu".
Unakuta mtu ela hana, sura hana, anajisifu Mwanaume mashine.
Sio ajabu hata Mashine kwake ni shidaaaa
Huo u handsome umeupima vipi? Kwanza mbona hajulikani au ni ndugu yako unampigia promo?
Chanell 10 na Magic FmAnatangaza kituo gani ?