Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
- Thread starter
- #41
Mhh ww ni wakiume?Huo u handsome umeupima vipi? Kwanza mbona hajulikani au ni ndugu yako unampigia promo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh ww ni wakiume?Huo u handsome umeupima vipi? Kwanza mbona hajulikani au ni ndugu yako unampigia promo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia hii kauli ya "Mwanaume mashine ni kujipooza tu".
Unakuta mtu ela hana, sura hana, anajisifu Mwanaume mashine.
Sio ajabu hata Mashine kwake ni shidaaaa
Hapa ndio mwisho wa hesabu za mjini na sina hesabu zaidi..
Mkuu ukiwa Na kila kitu ukakosa mashine mkuu utaona kama Dunia imekutenga mkuu,hivi vitu vina mahusiano aiseee hakuna kimoja kilichokamilikaNasikia hii kauli ya "Mwanaume mashine ni kujipooza tu".
Unakuta mtu ela hana, sura hana, anajisifu Mwanaume mashine.
Sio ajabu hata Mashine kwake ni shidaaaa
Atleast mkuu upo Complete ukiwa Na pesa halafu mashine ipo vizuri angalau Amani inakwepo.sasa unakuwa na kimoja kingine huna ni shidaaaaMwanaume ni pesa na mashine tu. Nashukuru mungu kanijalia hivi vigezo[emoji1488]
Wa kawaida tu
Handsome yupoje mkuu? Kama hamorapa?Kwaio huyo ndo handsome? ama kweli kila mtu na vile anavyoona