FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, yupo nchi ya kusadikika, tena anamega ardhi na kuuzaTangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
"My father was a statesman, I'm a political woman. My father was a saint, I'm not"Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Biashara ya dikteta uchwara tena!?Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Kuna list niliwahi kuiona yupo bibi mmoja Magreth Thatcher wa UKTangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Sahihi kabisa, huyu wetu anapelekwa pelekwa tu na wapambe wenye maslahi ye mwenyewe hata haelewi chochote.Kuna Magreth Thatcher wa UK.huku Africa hakujawahi kuwa na mwanamke dikteta.
Ndio huyoo Mama Abdul!Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
India pm ana madaraka makubwa kuliko rais"My father was a statesman, I'm a political woman. My father was a saint, I'm not"
Unamfahamu Indira Gandhi wewe?
Aliishia kuwa PM tu ila angekuwa raisi huyu sijui nn kingetokea
Sindano zimeanza kufikia mfiupa 😁😁Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?