Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Catherine the Great wa Russia, Elizabeth I wa England, Sheikh Hasina wa Bangladesh, Queen Athalia wa Yuda. Hao ndio mifano ya wanawake makatili waliowahi kutawala.
 
Ah nimemsahau Indira Gandhi. Alitawala kiimla japo aliondolewa madarakani halafu akarudi tena kabla ya kuuawa na mlinzi wake.
 
Catherine the Great wa Russia, Elizabeth I wa England, Sheikh Hasina wa Bangladesh, Queen Athalia wa Yuda. Hao ndio mifano ya wanawake makatili waliowahi kutawala.
Huyo hasina ana bahati alikimbia
Watu walikuwa na mkakati wamdake wamgawegawe ๐Ÿ˜„

Ova
 
Huyo hasina ana bahati alikimbia
Watu walikuwa na mkakati wamdake wamgawegawe ๐Ÿ˜„

Ova
Yah Kuna muda wa Kila kitu. Hata chama Cha kikomunisti Cha Urusi hakikufikiri kitafika mwisho. Kuna mwisho wa kila jambo
 
Ndiyo, katika historia ya dunia, pameshawahi kutokea viongozi wa kike ambao walijulikana kwa utawala wa kidikteta.

Mfano mmoja ni Angela Merkel wa Ujerumani, ambaye ingawa hakuwa dikteta kwa maana kamili, alitawala kwa nguvu katika siasa za Uropa kwa miaka mingi.

Pia, katika nchi kama Liberia, Ellen Johnson Sirleaf alikuwa Rais wa kwanza mwanamke kuchaguliwa barani Afrika, ingawa si dikteta, alikabiliwa na changamoto kubwa za kisiasa.

Kwa upande wa viongozi wa kike ambao walijulikana kwa utawala wa kidikteta, mfano ni Benazir Bhutto wa Pakistan, ingawa utawala wake ulikuwa na vipengele vya kidemokrasia, alikabiliwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Hata hivyo, ni vigumu kupata mfano wa wazi wa Rais mwanamke ambaye alikuwa dikteta kwa kiwango sawa na watawala wa kike waliotawala kwa nguvu na ukandamizaji.
 
Chura Kiziwa huko nchini Kanganyika ni Tishio
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
MDOMO ULIPONZA KICHWA.
MKAPAMBANE NA LIKESI LA UHAINI KWA MIAKA 5, JAMANI USTAARABU JAMBO LA BURE,TUHESHIMIANE,TUSITOE KAULI TATA,ZENYE KUHATARISHA NCHI YETU,
That's mean ushahidi upo na umekamilika ndipo kukamatwa kukafwata.
Dictator ni character siyo tusi
Samia Suluhu Hasaani kills people to cherish in power she is deemed dictator
 
Back
Top Bottom