Mkuu, mbona umezunguka saaana.....πTangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Kamsome Malkia Athalia wa kwenye biblia.Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Ndio, Waziri mkuu Magreth Thatcher (Iron Lady) wa Uingereza lakini hakufanywa chochote mpaka Nyerere alikuwa anamgwayaTangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
π€£π€£π€£π€£Na huyu tuliyenae yupo upande gani?
Catherine the Great wa Russia, Elizabeth I wa England, Sheikh Hasina wa Bangladesh, Queen Athalia wa Yuda. Hao ndio mifano ya wanawake makatili waliowahi kutawala.Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Huyo hasina ana bahati alikimbiaCatherine the Great wa Russia, Elizabeth I wa England, Sheikh Hasina wa Bangladesh, Queen Athalia wa Yuda. Hao ndio mifano ya wanawake makatili waliowahi kutawala.
Yah Kuna muda wa Kila kitu. Hata chama Cha kikomunisti Cha Urusi hakikufikiri kitafika mwisho. Kuna mwisho wa kila jamboHuyo hasina ana bahati alikimbia
Watu walikuwa na mkakati wamdake wamgawegawe π
Ova
ππππTangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
Umeambiwa Rais! Thatcher alikuwa rais?Kuna Magreth Thatcher wa UK.huku Africa hakujawahi kuwa na mwanamke dikteta.
Dictator ni character siyo tusiπππππππππππππ
MDOMO ULIPONZA KICHWA.
MKAPAMBANE NA LIKESI LA UHAINI KWA MIAKA 5, JAMANI USTAARABU JAMBO LA BURE,TUHESHIMIANE,TUSITOE KAULI TATA,ZENYE KUHATARISHA NCHI YETU,
That's mean ushahidi upo na umekamilika ndipo kukamatwa kukafwata.
Yupo mmoja namfahamu hata nchi kama Marekani wameanza kumfuatilia nyendo zake tusubiri tuone.Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?