Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie.

Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil, chaajabu nyama inachurusika mafuta hatari.

Je huyu ni mbuzi kweli?
Kama una ujasiri wa kuishi nchi inayoongozwa na mafisadi wa CCM, unaogopa nini kula vitu vidogo kama Kitimoto.
 
Kiingiacho tumboni hutoka ogopa sumu peke yake kama umekula wala usiwe na wasi wasi na kama ni tamu mbuzi naye nimtamu vilevile mkuu. Hapa mjini mshukuru mungu tu kukupa uzima hadi leo vingi halali na visivyo halali umesha kula mkuu na unadunda
 
Back
Top Bottom