Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

Kama maamuzi yashafanyika sisi ni nani hadi tuhoji au kushauri? Otherwise labda tujadili kujifurahisha kwa maana kama zishauzwa hatuwezi kupindua matokeo. Ni sawa na mtu akope bank halafu asilipe halafu ujiulize kama ni sasa kufilisiwa au sio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anasema.mkataba kasaini 2015. Bado miaka 6 mkataba uishe anatakiwa alipe million 500 kuvunja mkataba maama yake ni kua kwa miaka 10 ya mkataba Harmonize lazima aingize WCB kama 1.5bilion kama thamani ya mkataba.
Kwa biashara gani kwenye music industry ya Tanzania?
Uko sahihi kabisa. Harmonize alisaini mkataba mbaya sana tokea mwanzoni. Na sasa kuuvunja ndio mbaya kabisaaa kama unavyosema. Na MCL waliripoti kuwa hio 500million shs ni down payment bado anatakiwa alipie nyingine ya ziada. Mkataba mbaya kuingia na mbaya kutoka. Diamond anachekelea tu hadi kwa bank account yake.
 
Kama maamuzi yashafanyika sisi ni nani hadi tuhoji au kushauri? Otherwise labda tujadili kujifurahisha kwa maana kama zishauzwa hatuwezi kupindua matokeo. Ni sawa na mtu akope bank halafu asilipe halafu ujiulize kama ni sasa kufilisiwa au sio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajadili ili kujifunza. Mikataba bado ipo katika haya maisha. Majadiliano kama haya yanasaidia watu kujifunza kwa makosa ya wengine
 
Kama maamuzi yashafanyika sisi ni nani hadi tuhoji au kushauri? Otherwise labda tujadili kujifurahisha kwa maana kama zishauzwa hatuwezi kupindua matokeo. Ni sawa na mtu akope bank halafu asilipe halafu ujiulize kama ni sasa kufilisiwa au sio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikataba ya benki nayo balaa. Watu wanapoteza nyumba sababu ya mikopo yani acha tu
 
acha uboya wew amekuwa underground wakati uo hana uwezo oote ...sasa kakuwa ameyaona ameondoka ...zogo la nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha always tunaambiwa ni muhimu kujua how much we are worth (manake kujua thamani yako) na kuhakikisha kila mmoja anajua thamani yako.

Mimi naamini Harmonize pamoja na kuwa underground na kuhangaika lazima alijua yeye ni nyota na itang'ara sana. Naamini alijiamini na ndio maana alifanikiwa sana. Kama ni mimi yeye basi ningesaini mkataba wa miaka mitano na ambao uanipatia faida pia. Ni negotiation. Unajua utamwingizia mtu hela, ni muhimu u-negotiate mkataba mzuri. Hili pia ni kwa wale wanaofanya kazi. Msiruhusu makampuni yakawaonea. Mtu fahamu thamani yako kwa mwajiri wako na omba mshahara mkubwa bila kuhofu. Sababu anajua unamwingizia hela, bado atakubali tu.
 
mkuu kuna kilaza hawajuwe hilo yani imagine 60% makato duh wew acha tu 60% afu utasikia kuna kilaza kinasema eti kafanya vibaya kuondoka ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila hela hakuna hela. Bila WCB kuwekeza kwake, asingefanikiwa. Hivyo WCB imechangia mafanikio yake kwa kuwekeza kwake kifedha. Tunasema Mungu amtangulie. Lakini kwa sasa anahaha wakati Diamond anachekelea tu. Tatizo alifanya ni kusaini mkataba mbovu unaomuumiza. Na hilo ni kosa alilofanya kipindi hicho lakini linamgharimu sana sasa hivi.
 
Hizo nyumba zilikua wapi?
Mkataba wake ungeisha lini?
Ulikua na thamani kiasi gani?
Ikiweza kuuweka hapa itakua poa sana!
Hata hyo mil500 wamemfanyia favor , ndani ya miaka mitano ameweza kuwa na nyumba hzo chin ya WCB, nakili waz hamna walichomnyonya , sa hv kaanza maisha yake tuone atazinunua za hvo ndan ya miaka mingap
 
Hamna kitu cha bure utolewe huko kwenye uaunderground kabisa upromotiwe utafutiwe makollabo ya nje shows mbalimbali upewe exposure then ujitoe kirahisirahisi hivi haaahhhah hata kama ni uhuru inabidi ujitathmini umetolewa wapi sehem gani na umefikia wapi .Amlipe tu Mondi hizo ela afanye yake.
 
Asipofanikiwa baada ya kujitoa ni kitu ambacho atajutia milele. Tukumbuke Mondi amejaribu kukwepa beef kidizain so the only thing itakayompaisha ni kazi atakazofanya sio beef kama mwenzake Kiba.Kila la heri kwake
 
Hamna kitu cha bure utolewe huko kwenye uaunderground kabisa upromotiwe utafutiwe makollabo ya nje shows mbalimbali upewe exposure then ujitoe kirahisirahisi hivi haaahhhah hata kama ni uhuru inabidi ujitathmini umetolewa wapi sehem gani na umefikia wapi .Amlipe tu Mondi hizo ela afanye yake.
Overr....!!
 
Kama management yake inafahamu vizuri biashara ya muziki, basi alikuwa sahihi kuuza hizo nyumba kwa sababu wakati yupo WCB, Harmonize alikuwa na thamani zaidi ya hiyo 500M. Changamoto ya uongozi wake mpya ni kuendelea kuipandisha thamani yake ili kazi zake mpya ziweze kurejesha hiyo 500M anayotakiwa kulipa.
 
Bila hela hakuna hela. Bila WCB kuwekeza kwake, asingefanikiwa. Hivyo WCB imechangia mafanikio yake kwa kuwekeza kwake kifedha. Tunasema Mungu amtangulie. Lakini kwa sasa anahaha wakati Diamond anachekelea tu. Tatizo alifanya ni kusaini mkataba mbovu unaomuumiza. Na hilo ni kosa alilofanya kipindi hicho lakini linamgharimu sana sasa hivi.
Huyu dawa yake aende mahakamani aka u-chalenge huo mkataba kwamba hakuuelewa, hakufafanuliwa. Pili alikuwa haimudu lugha ya Kingereza vizuri wakati anasainishwa mkataba. Mkataba gani huo? Jela tupu hapo.
 
Huo mkataba ulikua na thamani ya sh ngapi?
Kama katumilia miaka 4 na kabakiza 6 analipa million 500 basis. Mkataba wake ulikua na thamani zaidi ya Billion 1.
Kwa biashara gani inayofanyika kwenye music industry Tanzania mkataba use na thamani hiyo?
Kwa mkataba huo Harmonize alikua anainhizia kampuni zaidi ya 1.5bilion kwa miaka 10.

KAMBA HII AISEE
Unasema hizo ni kamba kwa sababu inaonesha huifahamu vizuri hii tasnia. Hivi umeshawahi kujiuliza gharama za kutengeneza wimbo mmoja kuanzia audio hadi video?! Tena enzi zile hawa jamaa walikuwa wanategema sana videos production za nje!

Diamond alikuwa akisema video fulani imegharimu takribani 50M, watu walikuwa wanakejeli na kusema anaongeza sifuri mbele bila kufahamu kwamba videos nyingi walikuwa wanatengeneza nje ya nchi na huwa wanaenda huko na crew mzima! Sasa tuachane na hizo 50M, tuseme kila video imetengenezwa kwa ONLY 10M. Je, kwa kuzingatia utitiri wa nyimbo za Harmonize, kwa videos peke yake watakuwa wame-spend shilingi ngapi?!
 
Back
Top Bottom