secret file, Ngoja nikuulize swali: Wewe ungekuwa una thamani ya kimuziki kama ya Harmonize few days kabla hajaondoka Wasafi. Je, ungekuwa unapiga shoo kwa shilingi ngapi?! Pili, kama inakuja kampuni na kutaka uwe balozi wao, ungekubali shilingi ngapi kwa mwaka per product? Na tuseme Sony wanataka kukuingiza kwenye label yao, ungekubali mkataba wa shilingi ngapi?!