Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

Kwa kipindi hicho mkuu wala tusimlaumu, leo hii Diamond anaweza kwenda tena kumtafuta mtu na kumsainisha hata mika30 na akakubali, tatizo mtu anataka atoke hawez akaubishia mkataba mkuu.

Hapa tukiangalia muda hatuwez kumlaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kosa lake kivp Kama unaona mkataba sio rafiki si ungea jitoa Kwenye mziki kivyako haiwezekani nikugharamie kwa miaka 4 kuanzia mavazi mazuri, video Kali Tena na madirector wa nje, show, audio, photographer, ukae hotel Kali,dancers, nipush social network zako ziwe na followers wengi hapo hapo nikulipe alafu uvunje mkataba before ya muda wake alafu uondoke bure bila hata fidia ya kuvunja mkataba me nimekuwa mama yako?
 
unajua kuna sehemu ndogo sna watu tunapisha, wengi wanamlaumu kwanini akubali kusaini mkataba mgumu kiasi hicho? Na ndio maana nikasema leo hiii unaweza kumsainisha mtu mkataba hata wa miaka200 na akakubali kwa sababu zifuatazo:

1: Mtu anashauku yakutaka kujulikana
2: Ushawishi,mwenye mktaba atatumia ushawish mkubwa sana ili asaini(kumuhadaa)
3: Uelewa,utakuta wenye mkataba wanajaribu kutengeneza mazingira kiasi kwamba wahusika eg familia kuuchambua vizuri
4: Muhusika mwenyewe eg Diamond akuleted makataba kwako unafikiri nani atapata hata muda wa kuangalia madhara yake huko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba ngojea nikuambia kitu hakuna mkataba wowote usio na gharama either kwa anayetoa au anayepokea kitaalamu anayetoa anaitwa offeror na anayepokea anaitwa offeree tuchukulie mfano gharama zote alizotumia diamond kwa harmonize, harmonize akashindwa kufanya vizuri sokoni kuanzia home mpaka nje ya nchi hasara hapo angepata Nani?
 
Kapigwa tu na kina sallam na babutale, kwa muziki gani huyo dogo anaimba za kupata mil 500.
 
Wahenga walitufunza kwamba Hasira Hasara. Kiukweli hata kama mtu umeajiriwa kazi inayokulipa vizuri, kama unataka kuanzisha biashara binafsi unashauriwa kutoacha day job yako kwanza hadi biashara binafsi iwe na mwelekeo. Umefikiria vizuri sana. Inaonekana jamaa alikuwa na hasira na WCB.. Hasira iliyoleta pupa na akaamua kuacha tu pasipo kujipanga. Tujifunze kwa hilo kosa.
 
Tatizo harmo ni jina tu lakini ukija kwenye sekta zingine kisanaa anapwaya. Hicho ndo kitu WCB iliweza kucheza nacho, sasa new management kazi wanayo maana ni rahisi kuipandisha brand ya Ruby kuliko ya Harmo. Kama unaelewa ni nini namaanisha
Acha mbwembwe dogo yupo vizur labda Kama wivu na husda vinakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama show moja anaweza pata 30mil na kauza nyumba zake 3 poa yupo kwenye industry zaidi ya miaka 7 anashindwa vipi kulipa hiyo million 500??
Tatizo usanii kwenye kila kitu...kuongeza 0 tuu ndo jambo mnalojua
 

lakini bado anafanya vizuri sana. By the way fans wa muziki wa kusikiliza bila makelele bado tupo na hata wanaopenda makelele kuna time wanatulia na kusikiliza pia.hiyo ni advantage kwake
 
Mimi ningemuacha tu Kwa sababu pesa ni zake na Nyumba ni zake
Over
 
Hivi kwa nini tukae tunajadili mambo ya mtu binafsi? Baada ya kumjadili huyu, halafu tukurudie wewe kujadili kwa nini ulikula ugali na kisamvu (mfano tu siyo kwamba huo ndio ukweli) siku ya mwaka mpya; nakadhalika. Majadiliano kama haya hayana tija katika kuendeleza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…