Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Kwa kipindi hicho mkuu wala tusimlaumu, leo hii Diamond anaweza kwenda tena kumtafuta mtu na kumsainisha hata mika30 na akakubali, tatizo mtu anataka atoke hawez akaubishia mkataba mkuu.
Hapa tukiangalia muda hatuwez kumlaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tukiangalia muda hatuwez kumlaumu
Bila hela hakuna hela. Bila WCB kuwekeza kwake, asingefanikiwa. Hivyo WCB imechangia mafanikio yake kwa kuwekeza kwake kifedha. Tunasema Mungu amtangulie. Lakini kwa sasa anahaha wakati Diamond anachekelea tu. Tatizo alifanya ni kusaini mkataba mbovu unaomuumiza. Na hilo ni kosa alilofanya kipindi hicho lakini linamgharimu sana sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app