Je, Harmonize kampoteza Diamond Platnumz?

Nadhani kwa sasa Diamond kahamia kwenye kupiga hela kwenye biashara kuzidi pesa ya muziki, tayari ana gawio lake wasafi tv, wasafi fm, wasafi bet, n.k. , huenda hata kama muziki unaweza kumuingizia milioni 600 kwa mwaka bado haifii hata robo ya kwenye gawio lake la wasafi tv na radio.

Hamonize nae kama vp atafte mwekezaji wa sigara apewe gawio lake, nae anunue ndinga kali kama za Diamond, hizo Toyota na range za harmonize azipotezee nae anunue hata rolls royce ama escalede hata ya 2018
 
Diamond ataendelea kuwa msanii mzuri kwa miaka Mingi sana kwasababu ni hard worker na ni msanii mwenye mashabiki wengi Sana kuliko wasanii wote wa bongo.hakuna msanii anaweza kusurvive bila kushindwanishwa na Diamond amekuwa kama nembo kwa wasanii wengi so hoja yako mtoa mada haina mashiko uwezi kumfananisha msanii anafanya mziki kwenye level ya kimataifa na msanii ambaye ngoma zake zinaishia humu humu bongo juzi tu hapa diamond katoka kufanya show ivory coast uwanjani ukija kwenye digital platforms Diamond ni top kwa mziki wake kuuzika Sana. Na ndio msanii mwenye ubalozi wa makampuni mengi kuliko msanii yoyote
 
Harmonize ndio habari ya mjini, kafanya Hadi watu kulazimisha kutrend kwa visherehe visivyo na kichwa wala miguu, na wengine kuchoma magari.
Uwezi kusema unafanya vizuri Sana ukiwa still unatumia jina la msanii mwingine hii inaonesha wewe huwezi kuwika bila ya mtu fulani
 
Domo kajiaribia mwenyewe na kiki zake za kibwabwa none take him serious
 
Domo kajiaribia mwenyewe na kiki zake za kibwabwa none take him serious
Anawatesa sana, na hapo bado vyombo vyote ukitoa Wasafi tu hawapigi nyimbo zake, wamehonga mpaka night clubs na sehemu za starehe wasicheze nyimbo zake, bila Diamond mngemjua Harmonize? hayo yote wanayoyafanya leo akina harmonize Diamond kayafanya miaka 8 ilopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…