Je, Harmonize kampoteza Diamond Platnumz?

Je, Harmonize kampoteza Diamond Platnumz?

I wanna thank me for believing in me. I wanna thank me for doing all this hard work. I wanna thank for no days off. I wanna thank me for never quiting. Thank me very much.
 
The fiancée cow of a woman, who's at least 14 years older, now acts as a surrogate mom (in addition to her role as lover-manager) to keep him in check with his many vices and nefarious ways. This is simply insane. The business and the private lives converge in an unholy alliance.
 
hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.

harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.

so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.
Hivi mbona nyimbo za chinga zinasikika sana diamond si sana hata
 
Hivi mbona nyimbo za chinga zinasikika sana diamond si sana hata
chinga uwezo anao,na hata upumbavu wa kick za kifala anauweza.
ndio maana unaona huku usafini kama wanafifia hivi.
 
Back
Top Bottom