hata diamond amewahi kushindanishwa na akina TID na MR NICE[emoji16][emoji16][emoji16]ikaonekana kama utani sana kufanya hivyo,leo hii ni habari nyingine.
harmonize kwa hatua aliyofikia sasa hivi,kumlinganisha na diamond hakuna anashtuka,maana hawapishani kama ilivyokuwa yeye akitajwa na akina nature.na kama atakuwa hivi mwaka mmoja tu,diamond tutakuwa tunamuona kwenye rolls royce tu.
so watu wa usafini acheni roho za kutu,mond kafanikiwa sana ila sio kwamba hatakiwi mwingine kufika au kupita alipo.