Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wanachama wao kwenye vyuo vikuu hao, hakuna msomi makini wa chuo kikuu ambaye anaweza kuisupport CCM, cha kushangaza hao hao kuna siku utashangaa wanalalamika bodi ya mikopo haijawaingizia pesa yao!!Vyuo vikuu maana yake ni chuo zaidi ya kimoja kama hiyo ndio maana yake basi ni wachache sana.......#mtazamo.
MAFISADI wa KESHO na watoto wa CCM.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.
Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.
Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.
. Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.
Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma
Source:Mjengwa blog
Wangekuwa ni wa chadema hawa wangeshafukuzwa chuo
Nadhani hili swali ungeanza kujibu wewe mwenyewe, maana muda wote huo unaomuonaga anashinda hapa maana yake na wewe huwa unakuwa hapa.Mkuu Molemo,
Hivi mkate wa watoto uwa unatafuta muda gani muda wote upo JF.