Je, hawa Waganga wetu Wawili wa Congo DR watarejea Kwao kwa Kufeli Jana au tunaenda nao nchini Algeria?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu Ushirikina mlivyoenda Congo DR kucheza na TP Mazembe FC Wachezaji wenu Mayele na Moloko wakawadanganyeni mchukue Waganga wa Kikongo ( waliotumiwa na AS Vita FC ) kwa nyakati tofauti ili muwatumie na jana Wamefeli mbele ya Mwarabu.

Na bahati nzuri Mmoja wa Watu mnaowatumia Kuwaongoza hapa Mjini mkiwa mmewapangia Nyumba Mbezi Beach ni Rafiki yangu ( japo Yeye ni Yanga SC na Mimi ni Simba SC ) hivyo kanipa Siri hii na kuna nyingine Kali kanipa iliyosababisha Yanga SC Jana Kufungwa na pia hata Simba SC nao walifanya Kosa hilo hilo walipocheza na Waarabu Raja Casablanca FC kwa Mkapa na Kufungwa zile Goli 3 kwa 0.

Haya GENTAMYCINE nawauliza je, baada ya jana Kufungwa vile ( 2 - 1 ) na Mwarabu ( USM Alger FC ) kwa Mkapa hawa Waganga wenu wa Kikongo ( Congo DR ) mtaenda nao hadi Jijini Algiers nchini Algeria ili Wakaworogeeni mumfunge Mwarabu Kwao na mpindue Meza zenu mbovu na zilizooza?
 
Hivi kumbe uchawi kwenye mpira upo ?
 
Mimi Naamini kama Ambavyo Uchawi hauwezi kufanya Kazi Benki, basi ndo Hivyo hivyo Uchawi hauwezi kufanya kazi Kwenye Mpira.

Uzi ufungwe
 
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu Ushirikina mlivyoenda Congo DR kucheza na TP Mazembe FC Wachezaji wenu Mayele na Moloko wakawadanganyeni mchukue Waganga wa Kikongo ( waliotumiwa na AS Vita FC ) kwa nyakati tofauti ili muwatumie na jana Wamefeli mbele ya Mwarabu.

Na bahati nzuri Mmoja wa Watu mnaowatumia Kuwaongoza hapa Mjini mkiwa mmewapangia Nyumba Mbezi Beach ni Rafiki yangu ( japo Yeye ni Yanga SC na Mimi ni Simba SC ) hivyo kanipa Siri hii na kuna nyingine Kali kanipa iliyosababisha Yanga SC Jana Kufungwa na pia hata Simba SC nao walifanya Kosa hilo hilo walipocheza na Waarabu Raja Casablanca FC kwa Mkapa na Kufungwa zile Goli 3 kwa 0.

Haya GENTAMYCINE nawauliza je, baada ya jana Kufungwa vile ( 2 - 1 ) na Mwarabu ( USM Alger FC ) kwa Mkapa hawa Waganga wenu wa Kikongo ( Congo DR ) mtaenda nao hadi Jijini Algiers nchini Algeria ili Wakaworogeeni mumfunge Mwarabu Kwao na mpindue Meza zenu mbovu na zilizooza?
Mbona tunawaganga wengi sana
 
Back
Top Bottom