Je, hawa wanaomtaja taja Kafulila wanatumwa na nani?

Kafulila ndio mwana CCM ambae kama atagombea 2030 CCM itashinda kwa ushindi wa Kihistoria
 
Mbona kama ndoa ya Kafulila inakuuma mkuu Kuna nini?
Hainiumi. Nilikuwa namjibu mtia mada aliposema Kafulila ni smart. Nami nikasena angekuwa smart mkewe asingeondoka. So Kafulila ni mzembe au mwanaume suruali tu
 
Dah we
Dah Lucas uchawa wako ni pro max.
 
Ataundiwa zengwe huyu bado mchanga ila ndio mtu angeweza kuiokoa CCM huko mbeleni
Ccm haikolewi na mtu, bali na vyombo vya dola na wanaohesabu kura, labda Gen Z wa Tanzania waamke usingizini.
 
Anajitaja mwenyewe tumesha fahamu huo mchezo anaocheza kafulila ss watoto wa mjini bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…