Je, hawa wanaomtaja taja Kafulila wanatumwa na nani?

Je, hawa wanaomtaja taja Kafulila wanatumwa na nani?

Mwanaume Kufuatafuata faragha za watu ni dalili mbaya
Ndiyo upumbavu wenu huo kila kitu kuita faragha. Mambo yanaketwa public ni faragha hiyo. Wateja wanahamishwa vyumba kwenye hoteli ili kupisha watu wa enjoy huku mhusika akizuiliwa counter ni faragha hiyo?
Unataka tabia hizo ziachwe halafu wenye hizo tabia ndiyo wapewe uongozi wa nchi? Ili wahongwe na kuiuza nchi?
Public positions zinanajisiwa ninyi mnaita faragha
 
By Summary,

Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?

Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA

Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?

Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.

Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.

Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?

Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.

Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?

Muwe na Dominica njema.

cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Nahisi kuna watu wa karibu naye wasiomtakia mema mgombea aliyetajwa kuwa na form moja tu.
 
Wameanza tena kumuhusisha na nafasi ya NW Mambo ya Nje.
 
Nadhani wewe unashida na Kafulila personal

Nimejaribu sana kukueleza but huelewi,

Nimekwambia mambo matatu muhimu,

1. Kwa sasa Kafulila hana nia ya Urais 2030 kwani hajasema popote.

2. Kafulila hajatuma watu ndio maana nikasema wanamchonganisha na wenye nafasi hiyo ya Utia nia wakati yeye si miongoni mwao.

3. Kwakuwa huoni hoja na unazijibu basi wewe unatatizo kubwa kuliko hao free freelencers wa Kafulila.
Hii ni reply yangu ya mwisho kwako.

Mwambieni boss wenu ndio aje afanye mijadala hapa bila hofu si anakubalika ? Na kodi za wananchi si anatumia basi aache kukaa na mask.
 
By Summary,

Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?

Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA

Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?

Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.

Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.

Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?

Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.

Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?

Muwe na Dominica njema.

cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Na wewe kakutuma umzungumzie Kwa namna hii ya kiujanjaujanja!!?

Tumbili anajulikana Kwa Propaganda!! Nina wasiwasi pengine wewe ndo Kafulila!!

Kwanini unaamua kujitangaza hivyo hususani leo ambapo Kuna mbunge kaachia ngazi!?

Mbaya zaidi ni kwamba mnamchukulia poa sana Samia. Kwamba akisoma tu humu basi anachukua maamuzi. Mbona mnamfanya Rais wetu aonekane ni kiongozi CHEAP kiasi hicho?

Hebu jiheshimuni
 
Back
Top Bottom