CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #61
Jibu hoja kama.huna kaa kimya sio lazima kuandikaHayo maswali yote mlipaswa kuulizana mkikutana mnapopanga kulishana sumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja kama.huna kaa kimya sio lazima kuandikaHayo maswali yote mlipaswa kuulizana mkikutana mnapopanga kulishana sumu.
Jibu hoja acha kujiliza Liza kama mtoto wa kikePeleka ujinga mbali huko.
Sio kila mtu humu ni mjinga hadi mfanye michezo yenu ya kitoto na tusijue.
Masikini walishawahi Dunia ipi? toa recommendation ikakubalikaKafulila ni mzalendo wa kweli na kijana mchapakazi Taifa na Dunia wanajua Kafulila anachukia Rushwa hata Ufisadi,
Kafulila anatajwa sana hasa na wale masikini wa nchi
Mwenye kuweza kujibu huto tuswali twako(siyo hoja)ni huyohuyo Kafulila na aliowatuma wampigie debe.Kwani haujui anapopatikana ukamuulize?Jibu hoja kama.huna kaa kimya sio lazima kuandika
Sasa mtu ambaye Jana mke anapoteza mke kwa ujinga nani atamwaminiHakuna wa kumgusa Kafulila na hii ni mipango ya suti nyeusi
Sasa natoaje angalizo bila kumtaja?Unazuia wengine wasimtajetaje, wakati huo huo wewe unamtajataja !?😲🙃
Wewe unamchagua mke wake au yeye Kafulila?Sasa mtu ambaye Jana mke anapoteza mke kwa ujinga nani atamwamini
Sioni kama Kafulila anahitaji kupigiwa debe kwakuwa record zake zinamuuza popote.Mwenye kuweza kujibu huto tuswali twako(siyo hoja)ni huyohuyo Kafulila na aliowatuma wampigie debe.Kwani haujui anapopatikana ukamuulize?
CHADEMA ndio mtagawa pesa kwa wananchi wote,HongereniMasikini walishawahi Dunia ipi? toa recommendation ikakubalika
Hayo mambo ya kiccm kuwapaka mafuta masikini kwa mgogo wa chupa hatayataki
Tukichukua nchi hii hakuna masikini na umasikini
Sasa kumbe uache kiheremswede chako cha kuuliza maswali ambayo tayari unaweza kujijibu.Sioni kama Kafulila anahitaji kupigiwa debe kwakuwa record zake zinamuuza popote.
Ndio maana nashauri hao free freelencers waache hiyo kazi kwakuwa Kafulila hajawahi kusema anahitaji nafasi yoyote tofauti na wale wenzake .Sasa kumbe uache kiheremswede chako cha kuuliza maswali ambayo tayari unaweza kujijibu.
Kakae naye kwa utulivu utamuelewa.Kama si kwa maneno,angalia muitikio kimatendo yake.Ndio maana nashauri hao free freelencers waache hiyo kazi kwakuwa Kafulila hajawahi kusema anahitaji nafasi yoyote tofauti na wale wenzake .
Kumbe mkuu Matrix19 na wewe uneona huo mtego!! Jamaa bwege sana anadhani hapa ni Facebook wanaposifiana ujingaHii michezo yenu ya kitoto labda mdanganye wasio na akili.
Mleta mada ni chawa mwandamizi unaleta mada unaweka bandiko kama swali kwamba kwanini Kafulila anatajwa sana kumbe unamuongelea kimkakati halafu unapewa support na ID za machawa anaowalipa kumsifia hapa .
Hebu mfanye re-organization hii mbinu yenu imeshafeli labda kwa wajinga.
Kafulila material gani? Kwa Taifa lipi? Kwanza hata ukigombea ubunge huko kwenu sweken Kazuramimba sijui Kasulu ni tia maji tia maji. Halafu unakuja kujinadi hapa na Uraisi? Wewe huyuhuyu uliyeitwa tumbili na Prof Muhongo? Wacha mzaha dogoNo, Mimi nakushangaa wewe unalazimisha hoja zako hapa
Kafulila kweli ni material sana kwa Taifa najua hili hata wewe utakubaliana na Mimi,
Hoja yangu, Ni Je wenzake wata-react vipi baada ya yeye kuonekana akitajwa tajwa tena na watu asiowafahamu mitandaoni.
Take note, Mimi sio Kafulila
Na kuwa na adabu kwenye mijadala yako
Huyo Kafulila yupo humu na hao machawa wake wapuuzi anaowalipa kumsifia wewe angalia mtiririko wa thread utajua tu , kile kiID chake ndio bado hakijafika hapa kuweka commentKumbe mkuu Matrix19 na wewe uneona huo mtego!! Jamaa bwege sana anadhani hapa ni Facebook wanaposifiana ujinga
Kafulila material gani? Kwa Taifa lipi? Kwanza hata ukigombea ubunge huko kwenu sweken Kazuramimba sijui Kasulu ni tia maji tia maji. Halafu unakuja kujinadi hapa na Uraisi? Wewe huyuhuyu uliyeitwa tumbili na Prof Muhongo? Wacha mzaha dogo
Nani kasema Kafulila anataka Urais?Kumbe mkuu Matrix19 na wewe uneona huo mtego!! Jamaa bwege sana anadhani hapa ni Facebook wanaposifiana ujinga
Kafulila material gani? Kwa Taifa lipi? Kwanza hata ukigombea ubunge huko kwenu sweken Kazuramimba sijui Kasulu ni tia maji tia maji. Halafu unakuja kujinadi hapa na Uraisi? Wewe huyuhuyu uliyeitwa tumbili na Prof Muhongo? Wacha mzaha dogo
Hakuna hoja wapi?Jibu hoja acha kujiliza Liza kama mtoto wa kike
Una sifa zipi nyingi Kafulila? Wewe shukuru tu Samia kakuokota maana baada ya kukosa ubunge na mkeo kakimbia.Pamoja na kwamba anasifa nyingi za urais ila hajawahi kufanya hivyo.
Ila kweli wewe ni zezeta,Huyo Kafulila yupo humu na hao machawa wake wapuuzi anaowalipa kumsifia wewe angalia mtiririko wa thread utajua tu , kile kiID chake ndio bado hakijafika hapa kuweka comment
Hawa wanafikiri kila mtu ni mjinga kama wao.