Je, hawa wanaomtaja taja Kafulila wanatumwa na nani?

By Summary,

Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?

Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA

Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?

Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.

Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.

Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?

Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.

Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?

Muwe na Dominica njema.

cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Kwani anayetajwa tajwa ni Kafulila peke yake?
 
David mtu mfupi na ufupi wake
 
Lucas Mwashambwa,

Kwanza heshima yako Cde,

Pili, Nimefurahi kukutana na wewe kwani wewe pia ni miongoni mwao,

Tatu, ni kweli mnatamani au wanatamani lakini hofu wenzake watampokea kwenye hili game?

Kumbuka yeye ni mwajiriwa tu,

Hana base Kisiasa,

Napatwa na hofu hata kama Watanzania wanampenda vipi,
Kama alivyosema Rais wetu mpendwa hapo jana kuwa Uongozi unatoka kwa Mungu Mwenyewe. Mungu akisema ndio hakuna mwanadamu anayeweza kupinga. Mungu ndiye mtoa maarifa na njia.
Screenshot_20240702-020232_1.jpg
 
By Summary,

Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?

Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA

Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?

Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.

Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.

Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?

Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.

Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?

Muwe na Dominica njema.

cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Mimi simo Mkuu ila huyo john ndio mpiga debe wake humu jf 😂😂
 
Mimi Naamini watanzania wana kiu ya kuona Mheshimiwa David Kafulila anaingia na kurejea Bungeni hapo Mwakani.Hii ni kwa kutambua uwezo mkubwa alio nao katika kujenga , kutetea na kusimamia hoja.wanafahamu uzalendo, Uchapakazi,uadilifu ,umakini , umadhubuti na uimara alio nao Mheshimiwa Kafulila.wanafahamu kipawa na Karama ya uongozi aliyo nayo Mheshimiwa Kafulila ndio maana wanatamani kuona sauti yake ikiingia na kusikika bungeni hapo mwakani.

Wana kiu ya kutaka kuona fikra na maono ya Mheshimiwa Kafulila yakitumika na mchango wake ukisikika kupitia Bunge.wameona alama alizoziacha tangia alipokuwa Mbunge,RAS Songwe RC Simiyu na sasa PPP.wanatambua Mheshimiwa Kafulila siyo mtu wa kuyumba wala kuyumbishwa linapokuja suala la kutetea na kusimamia maslahi ya Taifa letu.ndio maana wanatamani kuona mzalendo huyu wa kweli akiingia Bungeni hapo Mwakani na kama ikimpendeza Mheshimiwa Rais kumpatia nafasi ya kumsaidia katika wizara yoyote ile atakayoona inafaa.View attachment 3047697View attachment 3047697
Huyo kafulila ni fala tu, alishinda uchaguzi wa ubunge halafu akatangazwa aliyeshindwa akabaki kulialia tu, sasahivi kajiunga na majambazi yaliyompora ushindi, hana tofauti na msigwa kwasasa
 
Acha kumfananisha Kafulila na watu wa ajabu ajabu
 
By Summary,

Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?

Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA

Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?

Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.

Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.

Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?

Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.

Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?

Muwe na Dominica njema.

cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Simuoni David popote alipo bora, ...narsist Tu
 
Kafulila katengeneza mwenyewe genge la kumtangaza hapa jf na kwingineko, usimlaumu mtu yeyote.
 
Hata wewe unamtaja Kafulila na wewe ndiye Kafulila mwenyewe.

NIMEKUSHITUKIA
 
Back
Top Bottom