CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #41
Hapana mkuu Mimi si Kafulila,Hata wewe unamtaja Kafulila na wewe ndiye Kafulila mwenyewe.
NIMEKUSHITUKIA
Fuatilia vizuri,
Mimi nipo kabla ya Kafulila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu Mimi si Kafulila,Hata wewe unamtaja Kafulila na wewe ndiye Kafulila mwenyewe.
NIMEKUSHITUKIA
Hakuna wa kumgusa Kafulila na hii ni mipango ya suti nyeusiBy Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?
Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.
Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.
Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?
Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.
Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?
Muwe na Dominica njema.
cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Kafulila ridhika na kidogo ulichopewa cha kuwa Commissioner wa PPP. Ukifanya vizuri waweza kupaishwa hadi kuwa KM.Hapana mkuu Mimi si Kafulila,
Fuatilia vizuri,
Mimi nipo kabla ya Kafulila
Nani Kafulila wewe takataka,Kafulila ridhika na kidogo ulichopewa cha kuwa Commissioner wa PPP. Ukifanya vizuri waweza kupaishwa hadi kuwa KM.
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Basi kama siyo Kafulila wewe ni demu wa Kafulila.Nani Kafulila wewe takataka,
Nimeshakwambia Mimi sio Kafulila,
Halafu Kafulila anakosa gani kama watu wanamtaja taja wao wenyewe kwa masilahi yao?
Acha mauza uza,
So stupid,Basi kama siyo Kafulila wewe ni demu wa Kafulila.
Mwanaume wa kweli hawezi kumuandikia mwanaume mwenzie post kama hii.
Mbona unajiliza sana.
Waliosoma Cuba watanielewa
Sijawahi kuwa Chawa wa mtu Mimi,Chawa wa Tumbili wakiwa kazini. Yaani ngedere na chawa wake wanajitekenya na kujiliwaza hapa JF.
Kile kijamaa ni kijinga kabisa.
Acheni Kafulila afanye kazi, Watanzania wa Leo sio wakupangwaBy Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?
Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.
Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.
Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?
Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.
Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?
Muwe na Dominica njema.
cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Ukiona mtu anatoa povu kiwango cha lami, tambua umepata kisawasawa. Ingekuwa uwongo usinge furusha hayo matusi.So stupid,
Acha kundandia wanaume kwa mbele,
Sasa Mimi wapi nimeandika tofauti hapo,
Kama unamchukia Kafulila hilo ni tatizo lako,
Stupidfull,
Mungu yupo kazini Tanzania inatafuta Rais MzalendoBy Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?
Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.
Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.
Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?
Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.
Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?
Muwe na Dominica njema.
cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Kafulila ni mzalendo wa kweli na kijana mchapakazi Taifa na Dunia wanajua Kafulila anachukia Rushwa hata Ufisadi,Ukiona mtu anatoa povu kiwango cha lami, tambua umepata kisawasawa. Ingekuwa uwongo usinge furusha hayo matusi.
Ukweli unabakia palepale au wewe ni Kafulila au demu wa Kafulila. Eti unadai watu wanamtaja taja?? Wapi huko wanamtaja?? Kama siyo kujifanyia self spinning
Chadema oyee imewapika vijana na kuwaazima maccmBy Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?
Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.
Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.
Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?
Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.
Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?
Muwe na Dominica njema.
cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Chadema oyee imewapika vijana na kuwaazima maccm
Juzi kati imewapa msigwa na pendo penrza
Ccm wafanye haraka wawape vyeo vinginevyo watajuta
Kafulila amelelewa na kukuzwa cdm na kuazimwa ccm
Nasikia mpago wa cdm ni ku- overhaul uongozi wote wa ccm kwa kupachika makada wao.
hongera cdm kwa akili hizi kubwa mpaka ccm original washtuke tayari kutakuwa na cdm A na cdm B
Lengo limetimia
Kada wa cdm awa raisi wa nchi kupitia ccm
Nyie CHADEMA akili zenu hizi za kuvukia barabara zitawasumbua sana.Hii michezo yenu ya kitoto labda mdanganye wasio na akili.
Mleta mada ni chawa mwandamizi unaleta mada unaweka bandiko kama swali kwamba kwanini Kafulila anatajwa sana kumbe unamuongelea kimkakati halafu unapewa support na ID za machawa anaowalipa kumsifia hapa .
Hebu mfanye re-organization hii mbinu yenu imeshafeli labda kwa wajinga.
Ukiona mtu anatoa povu kiwango cha lami, tambua umepata kisawasawa. Ingekuwa uwongo usinge furusha hayo matusi.
Ukweli unabakia palepale au wewe ni Kafulila au demu wa Kafulila. Eti unadai watu wanamtaja taja?? Wapi huko wanamtaja?? Kama siyo kujifanyia self spinning
No, Mimi nakushangaa wewe unalazimisha hoja zako hapaexpand...
Hayo maswali yote mlipaswa kuulizana mkikutana mnapopanga kulishana sumu.By Summary,
Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili?
Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote anataka nafasi yoyote ya kisiasa 2030 - JIBU NI HAPANA
Bila kujua au kwa kujua hawa watu wanamuingiza Cde David Kafulila kwenye migogoro isiyoisha na wanasiasa wasaka uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hofu yangu ni juu ya hawa watu endapo wanafahamu vizuri nguvu ya hawa wasaka uRais wa nchi hii au huu ni mpango wa TISS?
Nikweli Cde David Kafulila ni miongoni mwa vijana Wazalendo wa Taifa hili Kwa rekodi zake, hili wote tunakubaliana nalo.
Nikweli Cde David Kafulila anauwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi hasa kuthibiti Rushwa, Ufisadi, Uzembe na Matumizi mabaya ya mali za Umma hili hakuna mwenye hofu juu yake.
Tujiulize, Je, hawa free freelencers wanaomtaja taja Cde David Kafulila wanafahamu gharama za kumtaja taja wakati yeye hana nia hiyo?
Nikweli pengine wanatamani Cde David Kafulila awe kiongozi wao hapo baadae lakini wajue gharama ya mawazo yao inaweza ikamletea shida ndugu yao japo ni haki yao kikatiba.
Nikweli kila Mtanzania ana haki ya kuwa Kiongozi wa nafasi yoyote ile na Kila Mtanzania ana haki ya kutoa mawazo|maoni yake wakati wowote popote tatizo ni Je, wenzake hao watampokeaje kwenye game?
Muwe na Dominica njema.
cc:
johnthebaptist
Pascal Mayalla
FaizaFixy
Jabali la Siasa
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
Peleka ujinga mbali huko.Nyie CHADEMA akili zenu hizi za kuvukia barabara zitawasumbua sana.
Kafulila hahitaji promo kwa kazi kubwa alizolifanyia Taifa hili,
Nimetoa tahadhari tu kwa chawa wake.