Je, hawa wanaouza akaunti za instagram ni matapeli? Kuna mtu ameshawahi kununua? Tunaomba uzoefu juu ya hili

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa

915189ED-4FE9-4F3E-9C04-162195E45151.jpeg
 
Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 115k kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
Dogo kuwa makini hao watakuwa tu ni Freemason. Jiangalie usiingie mkenge ukajikuta unashawishika kutoa kafara ndugu, wapendwa na marafiki zako halafu ukaishi maisha ya huzuni na uchwara for the rest of your life na hizo hela za damu.

JIKITE tu kwenye civil engineering kipaji Mungu alichokupa.
 
Sio matapeli ila izo a/c zinakua na fake followers. Unakuta 60% ya followers kawapata kwa app za kuongeza followers kwahiyo unakuta ni followers wa Asia especially India.

Ukitaka kujua kama a/c iyo ni legit mwambie akutumie screenshot ya "Insight" itaonesha activity ya hiyo a/c mfano imepata followers wapya wangapi kwa week, likes ngapi, comments ngapi etc.
 
Watakuwa matapeli unatuma pesa wanaingia mitini
No, alisema tukutane kabisa. Wasiwasi wangu ni kwamba anaweza kuja kuihack baadae kwa kutumia email au namba ya simu aliyounganisha kwenye akaunti husika; au kama mdau hapo juu alivyosema, kwamba ni fake followers generated through apps, au ni followers wasio na engagement
 
Dark web zinauzwa akaunti hadi za xxx video..😂
 
Kwa 80,000 bora ulipie Ad utapata followers wengi tu. Tena wa Niche yako.

Hao followers wa a/c za kununua unakuta jamaa kawapata kwa kupost mat*ko na picha za wadada wakiwa half naked au umbea umbea. Sasa followers wamefuata Matako.

Wewe ukinunua unaanza kutangaza biashara ya fenicha, unategemea nini? Poor engagement.
 
Point ya msingi hiyo mkuu,asipoelewa basi acharazwe bakora hadharani.
 
Kwa 80,000 bora ulipie Ad utapata followers wengi tu. Tena wa Niche yako.

Hao followers wa a/c za kununua unakuta jamaa kawapata kwa kupost mat*ko na picha za wadada wakiwa half naked au umbea umbea. Sasa followers wamefuata Matako.

Wewe ukinunua unaanza kutangaza biashara ya fenicha, unategemea nini? Poor engagement.
Well nadhani hii hoja yako ni dhaifu, kwa uzoefu wangu, wanaopenda mat*ko ni watumiaji wazuri wa vitanda, computer, Tv na kadhalika, infact, ni wanaume wote. Mfano mimi, napenda sana hayo, na ninatumia fenicha, simu na vingine vingi tu.
 
Mad Max kaeleza na kushauri vizuri kabisa, engagement na target ya soko lako haliwezi kufikiwa ikiwa umenunua akaunti iliyowahi kutumiwa kabla. Tegemea hao wafuasi kushuka endapo niche ikibadilika.

Pili usalama wa akaunti na imani ikiwa hapo awali haikuwahi kukiuka sera za matumizi ni swali la kujiuliza, ikiwa unahitaji kufikia target ya soko lako anza na akaunti yako.

Zingatia machapisho bora, ubunifu wa kazi zako na ubunifu katika mfumo wa maudhui yako, consistency is the key in digital spaces na tricks za kupata organic results.
 
Noted
 
Back
Top Bottom