FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Dogo kuwa makini hao watakuwa tu ni Freemason. Jiangalie usiingie mkenge ukajikuta unashawishika kutoa kafara ndugu, wapendwa na marafiki zako halafu ukaishi maisha ya huzuni na uchwara for the rest of your life na hizo hela za damu.Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 115k kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
No, alisema tukutane kabisa. Wasiwasi wangu ni kwamba anaweza kuja kuihack baadae kwa kutumia email au namba ya simu aliyounganisha kwenye akaunti husika; au kama mdau hapo juu alivyosema, kwamba ni fake followers generated through apps, au ni followers wasio na engagementWatakuwa matapeli unatuma pesa wanaingia mitini
Point ya msingi hiyo mkuu,asipoelewa basi acharazwe bakora hadharani.Kwa 80,000 bora ulipie Ad utapata followers wengi tu. Tena wa Niche yako.
Hao followers wa a/c za kununua unakuta jamaa kawapata kwa kupost mat*ko na picha za wadada wakiwa half naked au umbea umbea. Sasa followers wamefuata Matako.
Wewe ukinunua unaanza kutangaza biashara ya fenicha, unategemea nini? Poor engagement.
Well nadhani hii hoja yako ni dhaifu, kwa uzoefu wangu, wanaopenda mat*ko ni watumiaji wazuri wa vitanda, computer, Tv na kadhalika, infact, ni wanaume wote. Mfano mimi, napenda sana hayo, na ninatumia fenicha, simu na vingine vingi tu.Kwa 80,000 bora ulipie Ad utapata followers wengi tu. Tena wa Niche yako.
Hao followers wa a/c za kununua unakuta jamaa kawapata kwa kupost mat*ko na picha za wadada wakiwa half naked au umbea umbea. Sasa followers wamefuata Matako.
Wewe ukinunua unaanza kutangaza biashara ya fenicha, unategemea nini? Poor engagement.
Mad Max kaeleza na kushauri vizuri kabisa, engagement na target ya soko lako haliwezi kufikiwa ikiwa umenunua akaunti iliyowahi kutumiwa kabla. Tegemea hao wafuasi kushuka endapo niche ikibadilika.Well nadhani hii hoja yako ni dhaifu, kwa uzoefu wangu, wanaopenda mat*ko ni watumiaji wazuri wa vitanda, computer, Tv na kadhalika, infact, ni wanaume wote. Mfano mimi, napenda sana hayo, na ninatumia fenicha, simu na vingine vingi tu.
NotedMad Max kaeleza na kushauri vizuri kabisa, engagement na target ya soko lako haliwezi kufikiwa ikiwa umenunua akaunti iliyowahi kutumiwa kabla. Tegemea hao wafuasi kushuka endapo niche ikibadilika.
Pili usalama wa akaunti na imani ikiwa hapo awali haikuwahi kukiuka sera za matumizi ni swali la kujiuliza, ikiwa unahitaji kufikia target ya soko lako anza na akaunti yako.
Zingatia machapisho bora, ubunifu wa kazi zako na ubunifu katika mfumo wa maudhui yako, consistency is the key in digital spaces na tricks za kupata organic results.