majid salim dossa
Member
- Nov 22, 2020
- 25
- 6
- Thread starter
-
- #21
nimeyaokota mkuu boma moshi hukoKwa kuonyeshwa sample kama hivi ni ngumu sana kuweza kuguess,
Katika kujua {probably} ni madini gani, kuna vitu vya kujua;
Umeyatoa maeneo gani? Umeyaokota randomly au vipi?
Eneo linaweza kutupa background info ya Geology ya hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hivyo ni vipande vya chupa ya vodka
duh weny ujuz embu njoonKama vile chupa ya stone tangawizi
muulize sospeter.....
ndo nanmuulize sospeter.....
Ni viganja vya binadamu
serious okNi viganja vya binadamu
kivip mkuu sijakuelewMuda si mrefu atapigwa mtu humu
yana thamani yoyotRed garnet
ndo muhongondo nan
ndo mwenye ramani ya madini africa kichwanindo muhongo