majid salim dossa
Member
- Nov 22, 2020
- 25
- 6
- Thread starter
- #21
nimeyaokota mkuu boma moshi hukoKwa kuonyeshwa sample kama hivi ni ngumu sana kuweza kuguess,
Katika kujua {probably} ni madini gani, kuna vitu vya kujua;
Umeyatoa maeneo gani? Umeyaokota randomly au vipi?
Eneo linaweza kutupa background info ya Geology ya hapo