Je,haya yanayotokea ulimwenguni yamepangwa?

Je mkuu feyzal kwenye hizo cartoon wanaonyesha TZ itajakuwa nchi yenye maendeleo na viongozi wenye kujitambua ,AU ita baki hivihivi kuwa shithool country
 
Una maana shetani ndo anatoa maudhui? Jana usiku niliutumia kuangalia hizi katuni dah nikasema kweli sisi ni vipofu.
EXACTLY.

Ana ongea na dunia wazi wazi kupitia hiyo series.
Inshort hiyo siyo katuni kama wengi mnavyo fikiria.

Its more than anything you can think or imagine. Kwa uwezo wa kibinadamu ni ngumu kuielewa.

SIMPSONS inaweza tabiri jambo litakalo tokea miaka 30 ijayo.

Ishu siyo ku present hilo jambo kwenye tv na watu waka cheka au kuangalia ishu ni nani aliye leta hilo wazo la kuhusu hilo jambo (AISEEE)

Sir God ali ruhusu shetani kutawala dunia, so huu ni uwanja wa 😈.

Everything is planned already ni suala la ku execute tuu, na ndiyo kama hivyo ila watu ngumu sana kuelewa sababu hata vyakula tunavyo kula hasa ugali na wali au vyakula vya kisasa hivi, tayari viko progrmaed kuua au kupunguza IQ ya binadamu lalahoi. Binadamu walio nje ya NEW WORLD ORDER.

Mambo ni mengi siwezi andika hapa ila kwenye ulimwengu wa roho yanayo endelea kwenye hii dunia YANATISHA.
NI heri usijue ujue machache tuu kuhusu MWENYEZI MUNGU.

MJUE MUNGU ZAIDI NA SIYO DINI, SHEKHE, PADRI WALA MCHUNGAJI.

KILA KITU KIKO PLANNED ALREADY.
 
Je mkuu feyzal kwenye hizo cartoon wanaonyesha TZ itajakuwa nchi yenye maendeleo na viongozi wenye kujitambua ,AU ita baki hivihivi kuwa shithool country
😁😁😁😁 Katuni zipo nyingi sana ila nilizoona nyingi zimebaze kwenye ulimwengu wa kwanza. Unajua hawa watu sisi hawatufikirii hata kidogo kwasababu tushajipiga lock wenyewe mfano mzuri msafara wa Rukwa juzi.
 
hapana Africa itainuka katika namna mbili kujitambua sisi wenyewe natuufanyie kazi utambuzi huo!,pili waliotufunika wapate chimbo jengine sasa sio leo...😅
Afrika haita inuka,sababu tunaendekeza ujinga mtu anawezaje kuiba bil 1 serikalini afu akaachiwa kirahisi tu,sheria kali zitungwe wachawi wote ikithibitishwa wauwawe hawa ni tatizo kubwa sana linalochukuliwa poa nchi ulaya zililiona hilo miaka ya 1500 wachawii wengi waliuliwa leo wana maendeleo kinachoendelea sasa mauaji ya watoto ni uchawi ushirikina na ubadhirifu ni tatizo Africa.
 
Shukrani mkuu,be blessed
 
😁😁😁😁 Katuni zipo nyingi sana ila nilizoona nyingi zimebaze kwenye ulimwengu wa kwanza. Unajua hawa watu sisi hawatufikirii hata kidogo kwasababu tushajipiga lock wenyewe mfano mzuri msafara wa Rukwa juzi.
Ukweli mchungu huu 👆 , Niko hapa mgahawani natamani kulia kabisa 🥺tz 🇹🇿 my country
 
Ukweli mchungu huu 👆 , Niko hapa mgahawani natamani kulia kabisa 🥺tz 🇹🇿 my country
Ndo hivyo mfano mzuri Maradona mara kadhaa kathibisha kua waliiba,wanaiba na wataiba kula ila hakuna anayejali.
Ukweli mchungu huu 👆 , Niko hapa mgahawani natamani kulia kabisa 🥺tz 🇹🇿 my country
 

Attachments

  • 20240718_082758.jpg
    122.2 KB · Views: 8
Simpson's ni noma , wanasema accuracy yake ni kubwa mno , kila unaloliona humo kwenye hizo katuni lilishatokea au kama halijatokea lina probability kubwa ya kutokea .
Kuna rumours kuwa mwanzilishi wa Simpson's alikuwa ni member cult (Illuminati ) , so Simpson's zikawa kama mouthpiece ya illuminati
 
Inawezekana ila huyo jamaa hajui kitu ....Wazungu wanatumia pesa ndefu kweny katuni sio kwamba hawana akili ni wajanja sana m kuna ujumbe wanawasilisha
Ni kweli tena kwasasa wanapandikiza mambo yao kwa watoto ,watu wazima katuni hawatafuatilia. Mpaka ishu mapapa watatu nimejulia humo jana aisee.
 
😂😂sahihi kabisa wachawi wauwawe
 
The simpsons ina seasons 35, episodes 768.

Kwa kiwango hichi kikubwa cha episodes, ingeshangaza zaidi kama wasingeweza kutabiri chochote.

Na pia zingatia hiyo show imeanza 1989. Ni kitambo sana kwahiyo inawezekana kuna vitu waandishi waliviandika zamani kama utani halafu vikatokea kweli kibahati tu

Kuna tabiri nyingi mno ambazo hazijawa kweli pia, nyingi kuliko zilizotimia

Na hii the simpsons imekuwa maarufu tu, shows zote zinazoandikwa kupitia mambo yanayofuatiliwa sana(pop culture) mfano American dad, family guy, futurama zipo hivyo

Mfano inasemekana walitabiri trump kugombea uraisi 2015/2016 lakini trump alikuwa akizungumzia hilo suala tokea 1999, ndo waandishi wakaliingiza kwenye show mwaka 2000
 
Acha kutisha watu wewe
 
Una maana shetani ndo anatoa maudhui? Jana usiku niliutumia kuangalia hizi katuni dah nikasema kweli sisi ni vipofu.
Vipi hadi vitabu kabisa , nitakuwa na uppload humu kimoja baada ya kingine
Maana si rahisi kuvipata kwenye websites hizi za kawaida za vitabu ,mpaka uzame deep web (dark web)
Baadhi ni hivi
Yaani ukiwa unapitia hizi cartoons tuliza akili kuna vitu vingi utagundua
Hawa washenzi wameweka ujumbe mzito sana kwenye hizi series
 

Attachments

Niko upande wako mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…