Kumekuwa na tetesi kuwa Mke Biden si mwanadamu kwani ameonekana mara kwa mara akifanya vitu kiroboti na pia network zake zimeonekana hazipo vizuri je haya yote ni ya kweli au uzushi tu.
Ni yeye Joe Biden lakini azidi kuzeeka hivyo kuanza kupoteza kumbukumbu na pia kuanza kuwa na matatizo ya kutembea.
Ni wale wanonufaika na kuwepo kwake madarakani ndo wasotaka aachie ngazi.
Juzi kamwona daktari wake Dr Kevin Cannard ambae ni mtaalam wa masuala ya ubongo na mienendo ya mtu asogeapo pamoja na ugonjwa wa kupooza wa Parkinson.
Mpaka sasa Biden ashafanyiwa uchunguzi wa maeneo mawili ikiwemo ugonjwa wa mstuko wa moyo Stroke au Parkinson ambayo ni hali ya ubongo kushindwa kudhibiti miondoko, mikono na kutetemeka hivyo mtu aweza kuanguka.
2. Hali ya ubongo wa chini yaani cerebellum unoungana na uti wa mgongo ambao una kazi ya kudhibiti mpangilio na usawa wa mwili yaani coordination and balance.
Uchunguzi huuni rahisi sana mtu huambiwa aguse pua kwa kidole, anyanyue mikono na kuangalia repsone ya mtu kwenye ubaridi na joto, ni dakika 10 tu zatosha hivyo sio uchunguzi wa kiundani yaani intensive.
Matokeo ya uchunguzi huo yamesema Joe Biden yupo Ok.
Lakini Joe Biden hajafanyiwa vipimo viitwavyo "Cognitive test" ambavyo huchukua muda na hugusia kila kitu huambiwa uandike imla, uchore picha na hupimwa usomaji wako (cognitive), mawasiliano yako, kumbukumbu zako na namna unavyotembea yaani motor skills.
madaktari watatu wamempima na kumkuta Joe Biden ana matatizo mawili makubwa la kwanza ni hali ya kutoweza kutembea kiufasaha yaani aonekana kama asita kutembea au apanda ngazi, hali inoitwa Gait.
Pia amegundulika ana tatizo la kuharibika kwa baadhi ya mishipa ya fahamu yaitwa pheriferal Neuropathy ambapo mtu huwezi kusikia moto wala baridi na huwa kama zuzu tu latembea lisifahamu lenda wapi.
Taarifa ya White House yasema sasa hivi Joe Biden kawekewa utaratibu wa kumuanglia kila asubuhi yaitwa "verbal Check-in" yaani waulizwa Good Morning, how are you?, how are you getting on?, did you take your tablet? things like that etc, etc.
Pia timu ya madaktari imesogezwa karibu na ngazi za kwenda ndani ya White House pembezoni yaitwa Colonnade.
Hivyo mkuu, ondoa wasiwasi mzee Joe Biden yupo na atakuwa ni mzee mbishi kuwahi kutokea katika historia ya Marekani kukataa kupumzishwa ampishe makamu wake na huenda akafariki akiwa Ikulu ya Marekani endapo atapata hali mbaya zaidi kuhusiana na afya yake.