Je, haya yanayozungumzwa kuwa Joe Biden si mwanadamu ni kweli?

Je, haya yanayozungumzwa kuwa Joe Biden si mwanadamu ni kweli?

Kumekuwa na tetesi kuwa Biden si mwanadamu kwani ameonekana mara kwa mara akifanya vitu kiroboti na pia network zake zimeonekana hazipo vizuri je haya yote ni ya kweli au uzushi tu.
Hizi stori ni za Vijiwe vya Gahawa huku mkishushia na kashata za Karanga
 
Wamarekani ni mabingwa wa conspiracy theories, wanalisha sana nyie msiopima habari kwa utashi kidogo tu.

Na vijana wajanja wa yutyubu wanajipakulia minyama kuwaaminisha mambo kama hayo na ninyi kwa ujuha mnawaona wajuzi...
 
Hivi kwa kumuangalia tu huoni kama atakuwana magonjwa ya utuuzima?miaka 81 it's not a cup of tea
 
Kumekuwa na tetesi kuwa Biden si mwanadamu kwani ameonekana mara kwa mara akifanya vitu kiroboti na pia network zake zimeonekana hazipo vizuri je haya yote ni ya kweli au uzushi tu.
Inawezekana wanaoamini hivyo ndiyo wakawa maroboti
 
Back
Top Bottom