Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

Kwa hivo mama yuakwama wapi
 
Uliona nadhani masiku ya kusimikwa mfalme wa sasa wa uingereza namna matambiko yalivokuwa yanafanyika.
Huku kwetu yakifanyika mnasema ushirikina kwa wazungu mnasema Ni jadi yao.
Ushirikina ni global tofaut ni aina tu lakini maana ni ileile
 
Tuanzie hapo kwenye ubaridi,je wewe ulishawahi kuitwa ofisini kwake na ukapata huo ubaridi au unasimuliwa tu?
yawezekana, maana kuna kiongozi mmoja alishatamka "Mh Mungu..." badala ya Mh Rais, kama si nguvu ya ushirikina ni nini hapo ndugu zangu.

Kuna mwingine na yeye akashidwa kabisa kusoma kiapo, kama si nguvu ya kiza ni nini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…