Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Kwa nini?Hawamtaki hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini?Hawamtaki hata kidogo
Inashangaza sanaNi ajabu sana kuona kitu kama hiki
Maza hana mvuto wa kisiasa + mfumo dume, pembeni wanamsema vibaya kwenye majukwaa wanamsifia sababu ya vyeoKwa nini?
HahaaaMaza hana mvuto wa kisiasa + mfumo dume, pembeni wanamsema vibaya kwenye majukwaa wanamsifia sababu ya vyeo
Tupo ambao huwa tunakumbuka Tribute to Benjamin William Mkapa: Mchango wa BWM Kwenye Tasnia ya Habari ni "Ukweli na Uwazi"-On The Bench-.Dar 24 Blog.Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.
Mnamkumbuka Kimya kimya?Tupo ambao huwa tunakumbuka
P
Na ukweli ni kuwa Hayati Mkapa was the best president of all. Alifanya mambo makubwa sana. Na kama baada ya Mkapa wangekuja wengine wa namna ile ile, tusingekuwa hapa tulipo leo. Alikuwa ni kiongozi hasa, alitefanya kazi kubwa katika kutengeneza mifumo ya koutawala na uongozi.Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.
Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.
Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.
Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?
Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini?
Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?

Aise huyu Mwamba ana mengi aliyofanya lakini hayasemwiNa ukweli ni kuwa Hayati Mkapa was the best president of all. Alifanya mambo makubwa sana. Na kama baada ya Mkapa wangekuja wengine wa namna ile ile, tusingekuwa hapa tulipo leo. Alikuwa ni kiongozi hasa, alitefanya kazi kubwa katika kutengeneza mifumo ya koutawala na uongozi.
Ndiye kiongozi pekee Duniani aliyeweza kushusha inflation toka 30% mpaka 4% ndani ya kioindi cha chini ya miaka 10. Hakuna Rais yeyote Duniani aliyewahi kufanikiwa kufanya hivyo.
Aliuchukua Urais hazina ikiwa na zero balance, akaondoka akiwa ameiacha na $5 billion. Nchi ikatola kwenye usafiri wa umma wa chai maharage na kwenda kwenye mabasi. Barabara zilizokuwa mahandaiki matupu, zikaanza kuwekewa lami.
Jitihada za Mkapa kwenye kufufua uchumi uliokuwa umekufa, tukiwa hatukopesheki, na nchi wahisani wakiwa wamesababisha misaada yote, ndizo ziliifanya nchi kufutiwa madeni yake yote.
Kikwete alipoingia tu madarakani, na kuiona hazina imenona, akazitapanya pesa za hazina kwa kuanzisha mradi wa kipuuzi ulioitwa "mabilioni ya Kikwete", akaanza kufanya utalii wa Dunia nzima akiamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada. Kilwete akasema kuwa huko nje kuna pesa nyingi, kiongozi unachotakiwa kufanya ni kuongea ueleweke, utapewa pesa. Mkapa akang'aka, akasema, "kukitokea siku akapatikana kiongozi, akawaambieni kuwa nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, mwambieni, wewe ni mpumbavu".
Hivyo ndivyo inatakiwa.....na mihadhara ya wazi mfanye pia msiishie jamii forums tu kwenye Elite group.
Nahisi angeweza kumfinger mtu kalio he was very seriousMkapa hakupenda ujingujing
Mkapa utaanzaje kumvamia na kumsogelea na mongering yako
Ya kiudaku udaku
Ova
Hawategemei kura ila pia ushawishi kwenye chama una umuhimu, ukikosa ushawishi kwenye chama ndo umeshaaga mashindano, ndo maana wanahangaikaga kupita kwenye chama wakitoboa wanajua huko mbele hakuna shidaLakini hawa wa siku hizi hawategemei kura, unalifahamu hilo?
kwani nani kaomboleza kifo cha yule mshamba zaidi ya familia yake? Mtu pekee nchi hii siku ya ya kufa inaadhimishwa ni baba wa Taifa. Magufuli ni lile kundi la sukuma gang wanang'ang'aniza na kulazimisha asisahaulike, subiri awamu ya pili ya mama km kuna kima litamkubuka. Sahivi bado wanalitumia jina la Magu kwa maslahi yao binafsi na kupima upepo.Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.
Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.
Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.
Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?
Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini?
Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
OkayHawategemei kura ila pia ushawishi kwenye chama una umuhimu, ukikosa ushawishi kwenye chama ndo umeshaaga mashindano, ndo maana wanahangaikaga kupita kwenye chama wakitoboa wanajua huko mbele hakuna shida
HahahaNahisi angeweza kumfinger mtu kalio he was very serious
Magufuli alikuwa mcha mungu siyo like jinamizi la kuua ovyo ovyo na kufoka foka bila pangoNdio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.
Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.
Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.
Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?
Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini?
Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
Hata wampotezee siyo mbaya mimi kwangu ndiye Rais bora wa muda wote.Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.