sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Huyu mama hata wanawake wenzie wanavyomsifia unaona kabisa ya usoni tu.Kwani unadhani maza watu wanamkubali au wanataka madaraka pekee?
Wanawake wenzie wanakuambia mama samia hoyee.. wakati nyumbani maji hayatoki, sukari hamna, umeme hakuna, vyakula havishikiki si vitunguu wala nyanya. Na hapa muathirika wa kwanza ni mwanamke mwenyewe.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app