YeahUkimchinja kuku na apo apo ukamwachia kuku bado ataendelea kujongea na baada ya muda atakufa tu...huu ni mfano tu
Unazungumzia kwamba zinaendelea kwenye kipimo... Je na dalili anazoziona?Homoni za mimba zinaendelea kujionyesha kwenye upt hata baada ya ujauzito kuharibika kwa ushauri zaidi muone daktari.
Ishu sio kipimo tatizo ni dalili kwenye mwili wakeHaipo...kipimo huwa kinasoma tu...week mbili zingine zikikata hakitasoma positive tena