Kati ya viumbe sitamani kuviona niwapo barabarani, basi ni hawa askari trafiki! Kwenye picha ya pili, wamenipiga faini mara nyingi na pia kuwahonga hela pasipo kumbe na sababu za msingi!Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti na mataifa mengine?
View attachment 3287661
Wanaitumia sana hiyo kutuumiza na huwa hawajiulizi risk anyokuwa nayo mtu wa nyuma ya lori kwamba likishindwa kupanda likarudi nyumaImagine uko highway kwenye mwinuko mdogo na ambao kama dereva unaona mbele hakuna gari ypypte ile inayokuja upande wako, halafu kuna lori lenye mzigo mbele yako huku likitembea mwendo wa kobe (10/kmph)! Unaamua kutumia sekunde chache tu kuli overtake na hivyo kuendelea na safari yako!